Joy FM
Joy FM
22 May 2025, 16:57
Watu wenye mahiataji maalum wakiwemo wenye uoni hafifu wilayani Chamwino mkoani Dodoma wametakiwa kufuatilia na kutambua alama za usalama katika fedha pamoja na utunzaji unaofaa wa fedha. Na Glory Paschal Benki Kuu ya Tanzania BoT imetoa elimu ya fedha kwa…
21 May 2025, 14:37
Ni kosa la kisheria kunukuu, kutangaza au kubainisha bei kwa kutumia fedha za kigeni, kulazimisha, kuwezesha au kupokea malipo kwa fedha za kigeni. Na Glory Paschal Benki kuu ya Tanzania BoT imesema malipo yote ya bidhaa na huduma yanapaswa kufanyika…
8 May 2025, 13:56
Kwa mujibu wa Takwimu za Ofisi ya Ustawi wa Jamii, kati ya mwezi March hadi April mwaka 2025 pekee kuna zaidi ya watoto 150 walitelekezwa katika Wilaya ya Kigoma. Hii leo wengi wa watoto hawa wanaishi mtaani, hawawajui wazazi wao…
5 May 2025, 11:41 pm
Madhara mengi yanaweza kujitokeza endapo mama mjamzito atafika kwa kuchelewa hospitalini siku ya kujifungua. Na Theresia Damasi. Ikiwa ni siku ya Mkunga Duniani Kituo cha Afya uvinza wilayani uvinza kimewataka akina mama wajawazito kuhudhuria clinik mapema pale tu wanapogundua ni…
30 April 2025, 5:34 PM
Haya ni mambo yanayojili katika jamii zetu na katika yote hivyo nawasamehe wale wote waliotenda hayo yamkini si akili yao Na Lilian Martin Watu wasiojulikana wamevamia katika kanisa Anglikana lililopo kijiji cha Mpeta wilayani Masasi mkoani Mtwara na kukusanya baadhi…
29 April 2025, 14:54
Serikali imesema itaendelea kushirikiana na mashirik mbalimbali kwa ajili ya kuboresha huduma za elimu Mkoani Kigoma. Na Sadiki Kibwana Mkuu wa Wilaya ya Kigoma Dkt. Rashid Mohammed Chuachua amegawa vifaa vya sayansi kwa shule za sekondari Mkoa wa Kigoma vyenye…
15 April 2025, 13:36
Vitendo vya uhalifu vinaweza kudhibitiwa iwapo tu wananchi watashirikiana na Polisi kata kukabiliana na vitendo vya uhalifu kwenye jamii Na Emmanuel Kamangu Polisi kata wilayani kasulu wametakiwa kushirikiana kikamilifu na wananchi katika kata wanazoziongoza ili kuwa rahisi kubaini wahalifu. Amebainisha…
15 April 2025, 11:25
Serikali kuendelea kusimamia na kudhibiti uhalifu wa kifedha Na Glory Enock Paschal Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amesema kuwa Tanzania itaendelea kushiriki na kutimiza matakwa ya kimataifa katika kupambana na kudhibiti uhalifu wa kifedha. Amesema kuwa Tanzania inatambua changamato za uhalifu…
14 April 2025, 13:49
Mkuu wa Mkoa Kigoma Thobias Andengenye amesema Serikali itaendelea kushirikiana na wadau wa maendeleo katika kuhamasisha jamii kutumia nishati safi ya kupikia. Na Josephine Kiravu Wadau mkoani kigoma wametakiwa kuendelea kutoa elimu kwa jamii kuhusu matumizi ya nishati safi ya…
14 April 2025, 08:35
Maafisa usafirishaji maarufu Madereva bodaboda wilayani Kigoma wametakiwa kuwa mstari wa mbele katika kukabiliana na vitendo vya ukatili. Na Kadislaus Ezekiel Mkuu wa Wilaya ya Kigoma Dkt. Rashidi Chuachua amewataka madereva bodaboda kusaidia kudhibiti matukio ya ubakaji na ulawiti kwa…