Joy FM
Joy FM
10 January 2025, 5:38 pm
Uzingatizi si tu hitaji la kisheri bali pia ni kiashiria cha uwajibikaji wa taasisi na dhamira ya kulinda haki za wananchi kwa mujibu wa Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ibara ya 16(1). Na Lilian Leopord.Tume ya Ulinzi wa…
10 January 2025, 13:41
Serikali imesema itaendelea kuhakikisha wananchi wanashirikiana na viongozi wa Serikali za mitaa katika utekelezaji wa miradi ya maendeleo na kutatua changamoto za wananchi. Na Hagai Ruyagila – Kasulu Wenyeviti wa vijiji na Vitongoji halmashauri ya wilaya ya Kasulu mkoani Kigoma…
10 January 2025, 12:39
wakati shule zikitarajiwa kufunguliwa wiki ijayo jumatatu ya januari 13 ambapo maelengo ya serikali ni kuhakikisha miundombinu ya madarasa inakuwa tayari na wanafunzi kuanza kuyatumia. Na Josephine Kiravu. Katibu Tawala mkoa wa Kigoma Hassan Rugwa amemtaka Mkurugenzi mtendaji wa Halmashauri…
9 January 2025, 16:38
Baadhi ya madereva Bodaboda katika Manispaa ya Kigoma Ujiji Mkoani Kigoma wamefanya maandamano kupinga kamatakamata ya vyombo vya moto inayoendelea Mjini Kigoma na kuomba Jeshi la Polisi kikosi cha usalama barabarani kulitafutia ufumbuzi suala hilo. Wakizungumza na Radio Joy Fm,…
6 January 2025, 16:05
Katika kukabiliana na vitendo vya ukatili kwa watoto, jamii imetakiwa kuendelea kuwalinda na kuwakinga watoto na mazingira yanayoweza kuwaingiza kwenye kufanyiwa vitendo hivyo. Na Hagai Ruyagila -Kasulu Wazazi na walezi wilayani Kasulu mkoani Kigoma wametakiwa kuwalea watoto wao katika maadili…
6 January 2025, 12:15
Katika kuhakikisha mtoto mlemavu kupata elimu na kutimiza ndoto zao wadau wa maendeleo na wazazi kuibua na kuwatoa nje watoto hao ili kupata haki ya elimu. Na Hagai Ruyagila – Kasulu Wadau wa maendeleo wilayani Kasulu mkoani Kigoni wametakiwa kuwasaidia…
19 December 2024, 9:09 am
Na Zahara Said na Halima Abdallah Kuelekea sikukuu za Mwisho wa Mwaka, Jeshi la Polisi Kikosi cha Usalama Barabarani Mkoa wa Iringa limewataka madereva kuwa makini pindi wanapoendesha vyombo vya moto ili kupunguza ajali barabarani. Hayo yamezungumwa na Mtahini wa…
12 December 2024, 09:21
Idara ya elimu Wilayani Kasulu Mkoani Kigoma imetakiwa kuanza kufuatilia walimu ambao hawawajibiki ipasavyo katika suala la ufundishaji hali inayosababisha matokeo kuendelea kuporomoka katika wilaya hiyo hasa katika matokeo ya darasa la saba. Na Michael Mpunije – Kasulu Mkuu wa…
11 December 2024, 16:12
Ili kuwa na vionozi wenye maadili mema vijana wanapaswa kuandaliwa wakiwa bado katika umri mdogo Na Josephine Kiravu Baadhi ya vijana Mkoani Kigoma wameiomba Serikali kuwapatia elimu ya kujitegemea ili kuondokana na dhana ambayo imejengeka kwamba vijana wengi wamekuwa wapambe…
9 December 2024, 11:02 am
Na Mwandishi wetu Jeshi la Polisi Mkoa wa Iringa kwa kushirikiana na timu maalum kutoka Kikosi cha Usalama barabarani Makao Makuu limefanya ukaguzi wa vyombo vya moto ambapo jumla ya magari 45 yamekutwa na makosa mbalimbali. Akizungumza kwenye operesheni hiyo…