Jamii
16 May 2024, 17:46 pm
TARI Naliendele yatoa elimu ya uvunaji wa ufuta
Wakulima wanashukuru kupitia mbegu zinazozalishwa na kufanyiwa utafiti katika kituo cha Naliendele kwani wamekuwa wakipata tija kwenye uzalishaji hivyo wengine wanakaribishwa kufika na kujifunza namna bora ya uzalishaji wa zao la ufuta. Na Musa Mtepa Wakulima na wadau wa ufuta…
15 May 2024, 21:33 pm
Watuhumiwa 14 wakamatwa kuhusika na mali za wizi Mtwara
Napenda kuwajulisha wananchi kuwa mkoa wa Mtwara upo shwari dhidi ya uhalifu na Elimu ya kuzuia na kutanzua imeendelea kutolewa kwa wananchi kupitia wakaguzi wa kata katika maeneo mbalimbali ya mkoa. Na Musa Mtepa Jeshi la polisi mkoa wa Mtwara…
15 May 2024, 20:00 pm
RC Sawala awataka wananchi kutoa ushirikiano dhidi ya vitendo vya ukatili
Taasisi zinazohusika na utoaji wa haki na kusimamia masuala haya kuyatendea haki ili kuendelea kumlinda mtoto na mwanamke na mtanzania kwa ujumla ili awe salama zaidi. Na Musa Mtepa Wananchi wameombwa kushirikiana na serikali katika kuelimisha jamii kuachana na vitendo…
14 May 2024, 08:06 am
Wavuvi waliopotea baharini Mtwara bado hawajaonekana
Boti hiyo ambayo ilikwenda baharini jioni ya tarehe 9/5/2024 kwa matarajio ya kurudi asubuhi ya tarehe 10/5/2024 lakini hawakufanikiwa kurudi baada ya kupata hitilafu na walinipigia simu kuanzia saa kumi na moja hadi saa sita mchana wakaniambia mwenyekiti simu zetu…
11 May 2024, 14:10 pm
Wakulima washauriwa kuzingatia ubora wa ufuta ukiwa shambani
Na Musa Mtepa Wakulima wa ufuta wameaswa kuzingatia mambo ya msingi kabla na baada ya kuvuna ili waweze kupata soko zuri la zao hilo. Wito huo umetolewa tarehe 10/5/2024 na mkurugenzi wa Taasisi ya utafiti wa kilimo ( TARI) Naliendele…
26 April 2024, 20:50 pm
DC Munkunda awataka wananchi kudumisha muungano
Faida za muungano wa Tanganyika na Zanziba ni nyingi kwa pande zote mbili zikiwemo za kibiashara,Uchumi na kijamii. Na Musa Mtepa Mkuu wa wilaya ya Mtwara Mwanahamisi Munkunda amewaomba wananchi kuwa wamoja katika kuuenzi na kudumisha muungano wa Tanganyika na…
23 April 2024, 17:20 pm
Vijiji 52 Mvomero kunufaika na mradi wa LTIP
lengo ni kuandaa jumla ya Mipango Shirikishi ya Matumizi ya Ardhi ya Vijiji 52 katika Wilaya ya Mvomero ambapo hadi kufikia sasa tayari mipango 48 imekwishaandaliwa Na Mwandishi Wetu Vijiji takribani 52 katika Wilaya ya Mvomero Mkoani Morogoro vitanufaika na…
22 April 2024, 16:30 pm
Watumishi wa umma watakiwa kufanya kazi kwa weledi
Inaonesha kumekuwa na ongezeko la vitendo vya utovu wa nidha kwa watu wa umma wakiwa kazini ikiwemo Rushwa na upungufu wa maadili. Na Mwanahamisi Chikambu Kamishina wa utumishi umma Balozi John Haule amewataka watumishi wa umma mkoa wa Mtwara kufanya…
21 April 2024, 16:26 pm
Wananchi Mtwara washauriwa kuwa na utamaduni wa kupanda miti
Miti na misitu ina faida nyingi kwa maisha ya binadamu ikiwa ni Pamoja na kuwa chanzo cha mvua,dawa ,chakula na ni chanzo cha bidhaa za ujenzi Na Gregory Milanzi Wananchi wameshauriwa kuwa na utamaduni wa upandaji wa miti ili kukabiliana…
19 April 2024, 21:14 pm
Maji bonde la Ruvuma, Pwani ya Kusini ni stahimilivu kwa wananchi
Bonde limefanya tathmini ya maji yaliyopo juu ya ardhi na chini ya ardhi na linavituo vya kufuatilia mienendo ya maji na tunatoa vibari kwa wahitaji wa matumizi ya maji hasa kwa wanaohitaji kuweka miundombinu. Na Musa Mtepa Jumla ya vyanzo…