Jamii FM

Habari

11 December 2025, 6:31 pm

Wito watolewa kuhifadhi mazingira

Na Mary Julius. Ikiwa leo dunia inaadhimisha Siku ya Milima Duniani, jamii ameihimiza kutambua wajibu wa kutunza na kuhifadhi mazingira ili kukabiliana na mabadiliko ya tabia ya nchi. Katika maadhimisho hayo, Zenji fm imezungumza na Afisa Utalii Hifadhi ya Taifa…

8 December 2025, 8:49 pm

Iringa kuadhimisha miaka 20 ya mahakama

Kauli mbiu ya Mahakama ya Tanzania Kanda ya Iringa inasema siku zote ni uadilifu  ueledi na uwajibikaji. Na Joyce Buganda Ikiwa tupo katika wiki ya maadhimisho ya miaka 20 ya mahakama Kuu Tanzania kanda ya Iringa, Wananchi Mkoani Hapa wametakiwa…

4 December 2025, 5:52 pm

Ngajilo akabidhi bati 100 kwa wafanyabiashara Mlandege

“Bati hizi ni utekelezaji wa ahadi ambayo niliitoa kwenu na naikabidhi rasmi hii leo” Na Ayoub Sanga Mbunge wa Jimbo la Iringa Mjini, Fadhil Ngajilo, amekabidhi mabati 100 kwa Wafanyabiashara wa Kuku katika Soko la Mlandege, kwa ajili ya kukamilisha…

3 December 2025, 1:43 pm

Madiwani Mufindi DC waaswa kukusanya mapato

“Ukusanyaji wa mapato utasaidia katika utekelezaji wa miradi ya maendeleo” Na Fredrick Siwale Madiwani wa Baraza jipya la Madiwani Halmashauri ya Wilaya ya Mufindi mkoani Iringa, wamekula kiapo cha utii na uwajibikaji kwa kipindi cha mwaka 2025 hadi 2030. Kiapo…

2 December 2025, 11:35 am

Kabati, TARURA uso kwa uso kutatua kero ya barabara

“Changamoto ya Barabara inatakiwa kutatuliwa ili kukuza uchumi wa wananchi wa Kilolo”. Na Hafidh Ally Mbunge wa jimbo la Kilolo, Dr. Ritta Kabati amefanya ziara ya kikazi katika ofisi za wakala ya barabara za vijijini na Mijini (TARURA) wilaya ya…

11 November 2025, 11:38 am

RC Iringa akagua Iringa Commercial Complex

Mradi wa Iringa Commercial Complex unatarajiwa kukuza uchumi wa Iringa. Na Hafidh Ally Mkuu wa Mkoa wa Iringa, Mhe. Herry James, amepongeza maendeleo makubwa ya ujenzi wa mradi wa Iringa Commercial Complex, unaotekelezwa mjini Iringa kwa gharama ya shilingi bilioni…

24 October 2025, 8:34 am

Polisi Iringa wapokea magari kukabiliana na uhalifu

“Magari haya yatakuwa chachu ya kupunguza matukio ya uhalifu mkoani Iringa” Na Hafidh Ally MKUU wa Mkoa wa Iringa, Kheri James amekabidhi magari mapya manane (8) kwa Jeshi la Polisi Mkoa wa Iringa ili kuboresha mazingira ya utendaji kazi na…

21 October 2025, 11:07 am

Iringa yapokea magari 9 ya zimamoto

“Magari haya yatasaidia kupunguza majanga ya moto katika jamii” RC Kheri Na Hafidh Ally Mkuu wa mkoa wa Iringa Mhe. Kheri James amekabidhi rasmi magari na vitendea kazi vya kisasa kwa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji ili kuimarisha utendaji wa…

17 October 2025, 9:04 am

Taasisi zinavyohamasisha wanawake kujihusisha na Siasa

Makala hii inaelezea Jinsi Taasisi Binafsi na za Kiserikali zinavyoshiriki kuhamasisha wanawake kujihusisha na masuala ya Uchaguzi na siasa. Na Hafidh Ally na Dorice Olambo Nuru FM imekuandalia makala hii maalum kujua ni kwa kiwango gani Taasisi Binafsi, za Kidini…