Jamii FM
Jamii FM
13 December 2025, 2:38 pm
Jamii yatakiwa kuzingatia malezi kwa watoto kuanzia ngazi ya familia badala ya wazazi kuwa bize na kazi, pia kufuata sheria ili kuepukana na ukatili wa kijinsia. Na Adelinus Banenwa Imeelezwa kuwa hali ya ukatili wa kutelekezwa bado ni changamoto kubwa…
13 December 2025, 1:49 pm
Na Adelinus Banenwa Kipindi kinahusu kutoa elimu kwa jamii inayotekeleza mila ya ukeketaji kwa akinamama na mabinti juu ya madhara ya kiafya kijamii na kimaendeleo watakayoyapata pindi wanapofanyiwa mila hiyo. Lakini pia kinaonesha umuhimu wa dhamira ya mila hizo, hivyo…
13 December 2025, 1:44 pm

13 December 2025, 1:27 pm

13 December 2025, 1:19 pm

11 December 2025, 12:43 pm
Kumekuwa na malalamiko mengi kutoka kwa wazazi juu ya tabia ya mzee huyo lakini hawakuwa na ushahidi wa kumkamata na ndipo siku ya tukio waliandaa mtego ambao ulipelekea kumnasa mzee huyo akiwa amemfungia mtoto huyo ndani. Na Adelinus Banenwa Mtoto…
11 December 2025, 10:48 am
Mbali na kipigo alichokuwa akipigwa mtoto huyo pia alikuwa akifanyishwa kazi zilizokuwa juu ya uwezo wake kama vile kuosha vyombo, kufagia nyumba na wakati mwingine alikuwa akinyimwa chakula kabisa. Na Adelinus Banenwa Mtoto wa miaka 3 jinsia ya kike jina…
2 December 2025, 9:47 pm
Inapofikia maadhimisho ya Siku ya Watu wenye Ulemavu wadau wanahimizwa kuendelea kuwekeza katika huduma jumuishi ili kuhakikisha kuwa watu wote, wakiwemo wenye ulemavu, wanapata huduma bora na stahiki bila vikwazo. Na Katalina Liombechi Katika kuelekea maadhimisho ya Siku ya Watu…
14 November 2025, 10:13 AM
“Mtuhumiwa huyu ambaye ni Katibu wa UVCCM kata ya Namalenga licha ya kumchoma moto mtoto wake wa kambo, lakini pia amemuadhibu vibaya mtoto mwingine ambaye alishirikiana nae wakati wa kuuza korosho” Na Neema Nandonde Salumu Hussein Maona mkazi wa kitongoji…
19 October 2025, 4:25 pm