Jamii FM

Afya

18 December 2025, 4:56 pm

NIDA yawataka Wananchi Manyara kusahihisha taarifa zao

Wananchi mkoani Manyara wametakiwa kufika katika ofisi za Mamlaka ya vitambulisho vya Taifa (NIDA) ili kufanya mabadiliko na kusahihisha taarifa zao za awali ambazo sio sahihi katika Vitambulisho vyao vya taifa NIDA. Na Mzidalfa Zaid Wito huo umetolewa leo na…

10 December 2025, 4:12 pm

Tufaa latajwa kuwa zao la kimkakati Dodoma

Picha ni Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Mhe. Rosemary Senyamule wakati wa hafla fupi ya utiaji saini Mkataba wa ununuzi wa Miche ya Tufaa baina ya Mkoa wa Dodoma na Kampuni ya Tamtam Tanzania ya Mkoani Iringa katika Ukumbi wa…

3 December 2025, 5:47 pm

RC Sendiga kutembelea kata 142 Manyara

Mkuu wa mkoa wa manyara, Queen Sendiga, anatarajia kuanza ziara yake ya kusikiliza kero za wananchi pamoja na kutemblea miradi mbalimbali na ziara hiyo  itafanyika chini ya kampeni maalum iitwayo “tunavua buti ama hatuvui, tukutane saiti”, ikiwa ni muendelezo wa…

21 October 2025, 3:35 pm

Serikali yazindua mafunzo ya kuongeza ujuzi kwa wakulima

Naibu Katibu Mkuu wa Ofisi ya Waziri Mkuu – Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu Zuhura Yunus katika mafunzo ya kuongeza ujuzi kwa wakulima na wazalishaji wadogo. Picha na Selemani Kodima. Mafunzo haya yanatolewa kwa ushirikiano na Taasisi ya Utafiti…

21 October 2025, 3:21 pm

Wakulima wa zabibu wapatiwa mafunzo kuongeza ujuzi

Picha ni baadhi ya wakulima wasindikizaji wa zabibu katika mafunzo ya kuongeza ujuzi Picha na Selemani Kodima. Katika mafunzo hayo yaliyofanyika Hombolo, jijini Dodoma jumla ya wakulima 70 wamepatiwa mafunzo hayo kwa ajili ya kuongeza thamani ya zao la zabibu.…

October 10, 2025, 9:54 am

Siku ya afya ya akili duniani Dkt. Hokololo atoa somo

Kwenye picha ni Dkt. Hokororo mtalamu wa Afya ya Akili kutoka hospitali ya wilaya ya Nyasa Hayo yameelezwa na Mtaalamu wa Masuala ya kiafya ya akili na Saikolojia, Dkt. Hokololo akizungumza na Unyanja Fm katika kipindi maalumu ambapo amesema kuwa…

9 October 2025, 3:42 pm

Mradi wa zabibu Hombolo kuleta neema kwa wakulima

Picha ni Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Mhe. Rosemary Senyamule wakati wa ziara yake katika eneo la Hombolo. Picha na Ofisi ya Mkuu wa Mkoa. Aidha, amesema mradi huo ni wa mfano wa kuigwa nchini, na utawasaidia wakulima wengine kujifunza…

30 September 2025, 2:34 pm

Serikali, wadau waja na mikakati kilimo biashara

Kupitia mradi huo, vijana wanapewa mafunzo ya kilimo chenye tija, ujasiriamali, elimu ya fedha, na uelewa wa mnyororo wa thamani wa mazao. Na Seleman Kodima. Licha ya sekta ya kilimo kuchangia ajira kwa Watanzania kwa Asilimia 65.5, bado imeendelea kukumbwa…