Huheso FM

Shule

March 8, 2024, 3:58 pm

Dkt. Mzava awataka walimu kutoa malezi bora kwa wanafunzi shuleni

Walimu wilayani Kahama mkoani Shinyanga wametakiwa kuwalea wanafunzi katika mienendo mizuri ili kupambana na mmomonyoko wa maadili unaoendelea kushamili nchini. Na Neema Nkumbi-Huheso FM Wito huo umetolewa na mbunge wa viti maalum mkoani Shinyanga Dkt. Christina Mzava alipotembelea Shule ya…

July 25, 2023, 1:59 pm

John Gabriel aeleza changamoto anazopitia baada ya kupata ajali

Mwanaume  huyu anayejulikana kwa jina la  John Gabriel  Mandale mkazi wa kata  ya Shunu  wilayani Kahama mkoani Shinyanga amejikuta anapitia  matatizo makubwa baada ya  kupata ajali  na kupasuka  kichwa   alipokuwa akitekeleza  majukumu yake ya kikazi huko  mkoani Geita Mgodini  hali…

November 17, 2022, 6:29 pm

Wanafufunzi kidato cha nne watakiwa kuepuka udanganyifu

Wanafunzi wa kidato cha nne wilayani Kahama mkoani Shinyanga waliotahiniwa kufanya mtihani wa taifa wa kidato cha nne wametakiwa kuepuka udanganyifu kwenye chumba cha mtihani ulioanza hii leo Novemba 14, 2022. Wito huo umetolewa leo Novemba 14,2022 na mkuu wa…

November 9, 2022, 10:12 am

Wananchi Nyandekwa waunga juhudi za maendeleo

Wananchi wa vitongoji vya kigungumli na baseka vilivyopo nyandekwa  manispaa ya kahama mkoani shinyanga  wameungana kwa ajili ya kuunga juhudi za serikali ya awamu ya sita katika maendeleo kwa kuitisha harambee yenye lengo la ujenzi wa shule ya msingi. Hatua…

July 22, 2022, 11:29 am

Wananchi Kahama watakiwa kushiriki zoezi la sensa

Wananchi Wilayani Kahama mkoani Shinyanga wametakiwa kushiriki zoezi la sensa ya watu na makazi litakalofanyika Agosti 23, 2022. Wito huo umetolewa na mkuu wa wilaya ya Kahama, Festo Kiswaga leo Julai 21, 2022 wakati akizungumza na HUHESO fm amesema maandalizi…