Highlands FM

Uncategorised

22 March 2024, 16:46

TBL yajitosa kutunza mazingira

Na Samwel Ndoni,Mbeya Wakazi wa jiji la Mbeya wameshauriwa kupanda miti rafiki na maji ili kukabiliana na tishio la mabadiliko ya tabianchi ambayo yameendelea kuathiri mazingira na vyanzo vya maji nchini. Wito huo umetolewa na Meneja wa kiwanda cha kuzalisha…

21 March 2024, 14:57

CST yatenga Sh 2b kupiga jeki elimu Nyanda za Juu Kusini

Na Lameck Charles Highlands Fm Radio Mbeya Taasisi isiyo ya kiserikali  ya Chilid Support Tanzania imezindua mradi wenye thamani ya zaidi ya shilingi bilioni 2 mradi wa “Peleka Rafiki zangu Shule” mradi unaolenga kuendelea kutoa mafunzo ya elimu kwa walimu…

19 February 2024, 11:07

Madereva bajaji wanawake wadai kufanyiwa ukatili

Na Mwanaisha Makumbuli, Mbeya Madereva bajaji wanawake katika halmashauri ya jiji la Mbeya  wamelalamika kufanyiwa vitendo vya ukatili wa kijinsia na baadhi ya wanaume ikiwemo kutolewa lugha za fedheha na matusi, kitendo kinachowakatisha tamaa na kujiona hawastahili kufanya shughuli hiyo.…