Dodoma FM

wanawake viongozi

27 November 2023, 2:11 pm

Majengo waeleza kunufaika na mikopo

Uwepo wa Taasisi za kifedha zinazojihusisha na utoaji wa mikoo kwa wajasiliamali imechangia kukuza biashara zao na kupata kipato cha kuendesha familia. Na Khadija Ibrahim. Wafanyabiashara katika soko kuu la majengo Jijini Dodoma wameeleza kunufaika kiuchumi kutokana na mikopo inayotolewa…

18 July 2023, 6:30 pm

Wananchi waeleza umuhimu na faida za vikundi

Baada ya kuwepo kwa mfululizo wa elimu kwa wananchi juu ya umuhimu wa kujiunga katika vikundi mbalimbali vya kuweka na kukopa sasa wananchi wameelewa umuhimu wa vikundi hivyo . Na Aisha Shaban. Baadhi ya wananchi jijini Dodoma wameeleza juu ya…

30 March 2023, 6:14 pm

Vijana wazungumzia changamoto za mikopo halmashauri

Vijana hao wamesema kuwa kumekuwa na changamoto na usumbufu mkubwa kwani wanatumia muda mwingi kufuatilia fedha hizo. Na Victor Chigwada .    Baadhi  ya vijana wa  kutoka Wilaya ya Chamwino wamezungumzia changamoto wanazozipata katika Halmashauri  pindi wanapoenda kuchukua mikopo inayotengwa na serikali…

16 November 2022, 12:19 pm

Ukubwa wa riba kikwazo kwa wakopaji mikopo

Na; Eva Enock. Imeelezwa kuwa ukubwa wa riba pamoja na elimu juu ya matumizi sahihi ya fedha za mikopo ni miongoni mwa sababu zinazopelekea baadhi ya watu kushindwa kurejesha mikopo. Hayo yameelezwa na baadhi ya wananchi jijini Dodoma wakati wakizungumza…

28 June 2022, 8:09 am

Ukosefu wa Elimu ya mikopo wakwamisha marejesho Bahi.

Na;Mindi Joseph. Vikundi vya wanawake na watu wenye ulemavu katika halmashauri ya Bahi Mkoani Dodoma vimeshindwa kurejesha mikopo yenye thamani ya shilingi milioni 58.28. Chanzo cha kushindwa kurejesha mikopo hiyo kinatajwa kuwa ni kutokuwa na elimu ya ujasiriamali na namna…