Dodoma FM

Usafi

1 December 2025, 1:26 pm

Gabriella Center yapambania watoto maalum kielimu

Jamii yaaswa kuachana na mitazamo hasi dhidi  ya watoto wenye mahitaji maalumu. Na Elizabeth Mafie Hai -Kilimanjaro Jamii imetakiwa kuondoa mitazamo hasi ya kuwaficha watoto wenye mahitaji maalumu, kwani watoto hao wana uwezo wa kujitegemea na kusimama wenyewe iwapo watapata…

6 November 2025, 5:12 pm

Wenye ulemavu wajivunia kushiriki uchaguzi kwa amani Zanzibar

Tume ya Uchaguzi ya Zanzibar (ZEC) iliweka mipango bora iliyowezesha watu wenye ulemavu kushiriki kikamilifu katika uchaguzi mkuu kwa amani na bila ya vikwazo vyovyote. Na Ivan Mapunda. Mwenyekiti wa Umoja wa Watu Wenye Ulemavu Zanzibar, Abdulwakili H. Hafidhi, ameipongeza…

4 November 2025, 9:19 pm

Jamila Borafya: Mwanamke jasiri anayeinua sauti za wenye Uulemavu

Si kila anayeshindwa anakata tamaa wengine hufanya kushindwa kuwa ngazi ya mafanikio.”Jifunze kutoka kwa safari ya Jamila, mwanamke shupavu aliyeamua kuandika ukurasa mpya wa uongozi unaojenga mshikamano na matumaini Na Ivan Mapunda. Katika medani ya siasa za Zanzibar, jina la…

21 October 2025, 2:46 pm

Uzushi na Uongo hauna nafasi Arusha

Jeshi la Polisi mkoa wa Arusha limewataka wananchi kujiepusha kusambaza taarifa za uzushi na uongo hasa katika kipindi hiki cha kuelekea uchaguzi mkuu wan chi uliopangwa kufanyika Oktyoba 29 mwaka huu Kauli hiyo imetolewa na Kamishna msaidizi wa polisi Salvas…

13 October 2025, 4:34 pm

Ameir awataka wazanzibari kujiandaa kwa Posho ya laki tano

Mgombea wa urais wa Zanzibar kwa tiketi ya  Chama cha Demokrasia Makini,  Ameir Hassan Ameir, amesema mpango wa kutoa posho ya shilingi 500,000 kwa kila Mzanzibari kila mwezi si ndoto bali ni dira inayotekelezeka kwa kupanga vipaumbele vya maendeleo na…

30 September 2025, 10:31 pm

Jaji Kazi: Wapiga kura rasmi Zanzibar sasa 717,557

Na Mary Julius. Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi ya Zanzibar (ZEC), Jaji George Joseph Kazi, amesema jumla ya watu 8,325 wameondolewa kwenye Daftari la Kudumu la Wapiga Kura baada ya kubainika kuwa hawana sifa, wakiwemo waliothibitishwa kufariki dunia. Akizungumza katika…