Dodoma FM

Urasimishaji

6 March 2024, 6:54 pm

Malipo yakwamisha urasimishaji wa ardhi Ihumwa

Zoezi hilo la urasimishaji linahusisha zaidi ya viwanja 2500 kwa upande wa mtaa wa ihumwa A ambapo inaelezwa kwa ni viwanja visivyozidi 100 ndivyo vimelipiwa. Na Victor Chigwada.Kusuasua kwa Malipo ya zoezi la Urasimishaji wa ardhi katika kata ya Ihumwa…

7 December 2023, 9:47 pm

Miradi ya TASAF yakosa ushirikishwaji baina ya mfuko, viongozi na jamii

Aidha mabadiliko hayo ya malipo katika mfuko wa jamii wa kusaidia kaya maskini yalikuja yakiwa na lengo la kurahisisha utekelezi wa zoezi la utoaji fedha kwa walengwa. Na Victor Chigwada.                                      Imeelezwa kuwa kukosekana kwa nguvu ya ushirikishwaji katika miradi ya…

21 April 2023, 3:02 pm

Wanufaika Tasaf walalamika malipo kuchelewa

Mpaka sasa miradi hiyo ipo katika hatua nzuri za utekelezaji kwani hadi kufikia julai mwaka huu wataanza kutekeleza awamu ya pili ya miradi hiyo. Na Bernadetha Mwakilabi Wanufaika wa mfuko wa kusaidia kaya masikini TASAF wilayani Kongwa wamelalamikia Kuchelewa kwa…

21 February 2023, 3:32 pm

Wanufaika wa mpango wa TASAF Bahi wameishukuru serikali

Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania imeweka mpango maalumu wa kusaidia kaya masikini ambao utaleta ahueni. Na Bernad Magawa. Wanufaika wa mpango wa TASAF katika kijiji cha Bahi Sokoni wilaya ya Bahi Mkoani Dodoma wameishukuru serikali ya Jamhuri ya…