Dodoma FM

Umeme

28 November 2025, 3:31 pm

Wananchi Pandambili walalamikia kukosa huduma ya umeme

Ukosefu wa umeme katika kijiji hicho umekuwa ukiathiri shughuli zao, kwani hulazimika kwenda kijiji cha jirani kupata huduma mbalimbali ikiwemo huduma ya mashine kwa ajili ya kusaga unga. Na Farashuu Abdallah.Wananchi wa kijiji cha Pandambili A wilayani Kongwa mkoani Dodoma…

24 October 2025, 6:03 pm

Reuben Sagayika atembelea wananchi mbalimbali Kalangalala

Zimesalia siku 4 ili wananchi nchini waweze kushiriki haki ya msingi na ya kikatiba ya kupiga kura kuchagua madiwani, wabunge na Rais. Na: Ester Mabula Mgombea Udiwani wa kata ya Kalangalala kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Reuben Sagayika…

18 October 2025, 3:52 am

Dkt. Jafari aahidi kuibeba ajenda ya halmashauri mpya

Ni mchaka mchaka kuelekea uchaguzi mkuu unaotarajiwa kufanyika Oktoba 29 mwaka huu, ambapo mgombea wa Ubunge Jimbo la Busanda kwa tiketi ya CCM ameendelea kusaka kura kwa wananchi. Na: Ester Mabula Mgombea Ubunge wa jimbo la Busanda kupitia tiketi ya…

14 October 2025, 1:02 pm

Kawawa yakosa umeme wa kutosheleza mahitaji ya wananchi

Kutokana na changamoto hiyo wananchi waiomba serikali kuongeza nguvu ya umeme ili kukidhi mahitaji ya jamii. Na Victor Chigwada. Wakazi wa Kitongoji cha Kawawa, Kijiji cha Chanhumba, wameiomba serikali kuongeza nguvu ya upatikanaji wa nishati ya umeme katika eneo hilo,…

10 October 2025, 6:51 am

UVCCM (W) Geita waongoza mbio mapokezi ya Dkt. Samia

Mgombea urais kwa tiketi ya CCM Dkt. Samia Suluhu Hassan anatarajiwa kufika mkoani Geita Oktoba 13, 2025 ikiwa ni mwendelezo wa kampeni za chama hicho. Na: Ester Mabula Umoja wa vijana wilaya ya Geita umeongoza mbio za picha ya mgombea…

10 October 2025, 5:37 am

Eng. Chacha, Sukambi waahidi kuijenga Nyankumbu mpya

“Chacha ni Nzagamba lililoshiba, liko tayari kwaajili ya kuleta maendeleo katika jimbo la Geita mjini na kuendeleza kutekeleza ilani ya CCM” – Chacha Wambura Na: Ester Mabula Katika mwendelezo wa kampeni za mgombea ubunge jimbo la Geita mjini kwa tiketi…

9 October 2025, 5:34 am

Costantine Morandi aomba mitano tena kwa wakazi wa Samina

Ikiwa zimesalia siku 19 tu kuweza kufanyika uchaguzi mkuu kwa mwaka 2025, wagombea wa nafasi mbalimbali wameendelea kunadi sera pamoja na ilani za vyama vyao. Na: Ester Mabula Mgombea udiwani katika kata ya Mtakuja kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi…

6 October 2025, 7:41 pm

Nondo za Reuben Sagayika akiomba kura za CCM Msufini

“Ninaimani kata ya Kalangalala itakwenda kubadilika kimaendeleo iwapo mtanipa kura za NDIO ili niweze kuwatumikia kwa moyo wangu” – Reuben Sagayika Na: Ester Mabula Mgombea udiwani wa kata ya Kalangalala kupitia tiketi ya Chama cha Mapinduzi (CCM) Reuben Sagayika leo…

27 September 2025, 12:42 am

Mgombea ubunge CCM Geita mjini awafikia wajasiriamali Nyankumbu

“Ilani ya CCM kwa mwaka 2025 imeainisha maeneo muhimu yanayogusa maisha ya wananchi kwenye afya, elimu, miundombinu pamoja na biashara” – Mhandisi Chacha Na:Ester Mabula Mgombea ubunge wa Jimbo la Geita mjini kupitia tiketi ya CCM Mhandisi Chacha Wambura katika…