Dodoma FM

Ujenzi

10 March 2022, 2:38 pm

TBA yatakiwa kuharakisha mchoro wa jengo la ofisi

Na; Mariam Matundu. Katibu mkuu wizara ya maendeleo ya jamii ,jinsia ,wanawake na makundi maalumu Dkt Zainabu Chaula amewaomba wakala wa majengo ya serikali (TBA) kuharakisha taratibu za kupata mchoro wa jengo la ofisi za wizara hiyo ili ujenzi uanze…

20 December 2021, 1:53 pm

Ujenzi wa eneo la machinga wazinduliwa jijini Dodoma

Na; Thadey Tesha. Mkuu wa mkoa wa Dodoma Mh Antony Mtaka Amezindua ujenzi wa eneo la wafanyabiashara wadogo maarufu kama wamachinga lililopo Bahi Road lenye uwezo wa kuchukua wamachinga zaidi ya 3800. Akizungumza katika uzinduzi huo mh Mtaka amesema kukamilika…

19 July 2021, 10:35 am

Wakazi wa kijiji cha Nholli kuanza ujenzi wa zahanati

Na; Victor Chigwada. Wakazi wa kijiji cha Nholi kata ya Mpalanga wilayani Bahi wamekabidhiwa mifuko miatatu ya saruji kwaajili ya ujenzi wa zahanati.Wakizungumza na taswira ya habari wakazi wa kijiji hicho wamemshukuru mbunge wa jimbo la Bahi mh. Kenneth Nollo…

29 January 2021, 9:28 am

Wananchi Matumbulu walilia kituo cha Polisi

Na,Victor Chigwada, Dodoma. Wananchi wa Kata za Matumbulu na Mpunguzi jijini Dodoma wameiomba Serikali kuwajengea kituo kidogo cha Polisi ili kukabiliana na matukio mbalimbali ya kihalifu. Wakizungumza na Taswira ya habari wananchi hao wamesema kuwa katika Kata nzima wana askari…

5 January 2021, 3:21 pm

Wananchi Chilonwa waomba kukarabatiwa daraja

Na,Mariam Matundu, Dodoma. Wakazi wa kijiji cha Mahama Kata ya Chilonwa Wilayani Chamwino wameiomba Serikali kufanya ukarabati wa daraja lililopo kati ya kijiji cha mahama na Nzali ili kuondoa adha ya usafiri wanayokutana nayo kipindi cha mvua za masika.Wakizungumza na…