Dodoma FM

uchumi

23 March 2021, 6:34 am

Magufuli Alijenga Heshima ya Tanzania

Na; Mariam Kasawa. Imeelezwa kuwa, kufuatia Marekebisho yaliyofanywa katika Sheria ya Madini ambayo ni Matunda ya jitihada za aliyekuwa Rais wa Awamu ya Tano wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli yameifanya  Tanzania iheshimike kimataifa. Hayo yamebainishwa…

12 January 2021, 7:48 am

TBS na WMA watakiwa kufanya kazi kwa uadilifu

Dodoma. Waziri wa Viwanda na Biashara Mhe.Geoffrey Mwambe amewataka watumishi wa Shirika la Viwango Tanzania (TBS) na Wakala wa Vipimo (WMA) kufanya kazi kwa uadilifu na kuwafikiria wafanya biashara wakati wakitoa huduma ili kuendelea kutengeneza taswira nzuri ya bidhaa  za…

8 December 2020, 2:51 pm

Mfumuko wa bei wa Taifa washuka

Na,Mindi Joseph, Dodoma. Mfumuko wa bei wa Taifa umepungua kutoka asilimia 3.1 hadi 3.0 kwa mwezi Novemba kufuatia kasi ya mabadiliko ya bidhaa nchini Kupungua.Kupungua kwa mfumuko wa bei kwa mwaka ulioishia mwezi Novemba 2020 imechangiwa na kupungua kwa bei…

5 December 2020, 11:53 am

TAWOMA watakiwa kujenga masoko mapya ya madini

Na Alfred Bulahya, Dodoma. Serikali imekitaka Chama Cha wachimba Madini Wanawake Tanzania (TAWOMA) kuendelea na juhudi za kujenga masoko mapya ya Madini ili kuhamasisha upatikanaji wa soko la Madini hasa Yale yasiyo na thamani.Kauli hiyo imetolewa leo Jijini Dodoma na…

2 December 2020, 9:56 am

Wakulima washauriwa kupanda mbegu zinazokomaa mapema

Na Benard Filbert, Dodoma. Kufuatia kunyesha kwa mvua za wastani mwaka huu wakulima Mkoani Dodoma wamehimizwa kutumia mbegu zinazokomaa kwa muda mfupi hali itakayowasaidia kuepuka kupata mavuno hafifu. Wito huo umetolewa na mkuu wa idara ya kilimo kutoka Mji wa…

26 November 2020, 7:19 am

Wanawake na fursa za kiuchumi

Wanawake nchini wameshauriwa kujishughulisha na shughuli mbalimbali za kiuchumi ili kujiongezea kipato ambacho kitawasaidia katika mambo mbalimbali hususan katika kugombea na kuendesha kampeni wakati wa chaguzi. Ushauri huo umetolewa na mwenyekiti wa umoja wa wanawake Tanzania UWT mkoa wa Dodoma…