Dodoma FM
Dodoma FM
8 August 2025, 3:15 pm
Awali wangombea walijinadi kwa kutaja Majina pamoja na namba kutokana na majina yao. Na Kitana Hamis. Wajumbe walio shiriki Uchaguzi wa Udiwani kata ya Engusero Wilayani Kiteto walalamika kubadilishiwa namba za wagombea na kujikuta wakiwapigia kura wagombea wengine. Wakizungumza Baadhi…
7 August 2025, 12:50 pm
Wameyasema haya mala baada ya katibu wa chama hicho kutangaza matokeo ya uchaguzi wa majimbo ya kibakwe na Mpwapwa. Na Steven Noel. Baadhi ya wagombea wa nafasi ya ubunge Jimbo la mpwapwa wamelalamikia RUSHWA kutawala Katika uchaguzi kitu walicho kusema…
5 August 2025, 5:45 pm
Amesema hitilafu katika uchapishaji wa makaratasi ya kupigia kura kwa baadhi ya majina ya wagombea kukosewa na kutoonekana imesababisha zoezi hilo kutofanyika. Na Kitana Hamis.Katibu Chama Cha Mapinduzi (CCM ) Mkoa wa Morogoro Nuru Ngereja ametolea ufafanuzi sababu za kata…
24 July 2025, 5:08 pm
wagombea hao wametakiwa kufuata kanuni Sheria na taratibu za uchaguzi. Na Steven Noel. Wanachama 46 wa umoja wawanawake ccm Tanzania UWT. Wilaya ya Mpwapwa wapitisha majina tisa ya waliowania udiwani viti maluum Katika mchakato uliofanyika Katika viwanja vya ofisi za…
16 July 2025, 1:54 pm
Lugha za matusi na udhalilishaji majukwaani zimekuwa kikwazo kikubwa kwa wanawake wanaotaka kushiriki kikamilifu katika siasa na uongozi. Hali hii inaathiri si tu ushiriki wao, bali pia inadhoofisha demokrasia jumuishi na haki za binadamu. Ripoti mpya ya shirika la Umoja…
10 July 2025, 16:01
Kwenye maisha usiwe mtu wa kujisifu badala yake acha kazi yako na bidii yako ikutambulishe kwa watu,ndio hapo utasifiwa na wanao ona. Na Hobokela Lwinga Wananchi katika kijiji cha Nsonyanga A kata ya Mahongole wilaya ya Mbarali mkoani Mbeya wameishukru…
10 July 2025, 13:27
Ni miezi kadhaa sasa tangu kada wa CHADEMA Mpaluka Nyagali maarufu kwa jina la Mdude achukuliwe na watu wasiojulikana nyumbani kwake Iwambi jijini Mbeya. Na Ezekiel Kamanga Mahakama Kuu ya Tanzania Kanda ya Mbeya imetupilia mbali maombi ya jinai namba…
30 June 2025, 16:17
Wakati pilikapilika za uchaguzi zikiwa zinaendelea watia nia hususani wa chama cha mapinduzi wameendelea kuchukua fomu kuomba ridhaa ya kuwania nafasi za ubunge na udiwani kwenye maeneo yao. Na Rukia Chasanika Zoezi la uchukuaji wa fomu za kuwania nafasi za…
24 June 2025, 05:26
Wanasema ili uweze kufanikiwa kufanya jambo fulani unapaswa kuweka Imani, ndivyo ambavyo waumini wa dini mbalimbali wanapaswa kuwekeza kwenye maombi kuelekea uchaguzi Mkuu October mwaka huu .Na Hobokela LwingaViongozi wa dini nchini wametakiwa kusema kweli ya Mungu juu ya matukio…
31 May 2025, 2:49 pm
Serikali wilaya ya Geita imesema haitawafumbia macho wananchi watakaobainika kuwa chanzo cha uchafuzi wa mazingira. Na: Kale Chongela: Kauli hiyo imetolewa leo Mei 31, 2025 na mkuu wa wilaya ya Geita Mhe. Hashim Komba akiwa katika mtaa wa Mwatulole uliopo…