Dodoma FM

SOKO IHUMWA

13 September 2023, 2:47 pm

Jamii yatakiwa kutambua umuhimu wa kupima afya

Wataalamu wa Afya wanashauri jamii kufanya uchunguzi wa afya mara kwa mara ili kubaini hali zao na namna ya kukabiliana na magonjwa yanayoweza kujitokeza kwa haraka zaidi . Na Richald Ezekiel. Jamii imetakiwa kutambua umuhimu wa kupima afya mara kwa…

4 April 2023, 3:48 pm

Ufahamu ugonjwa wa P.I.D

Maambukizi kwenye via vya uzazi wa mwanamke yanayosababishwa na bakteria wakati mwingine huweza kupelekea ugumba. Ugonjwa wa maambukizi katika via vya uzazi P.I.D ni moja kati ya magonjwa ya zinaa yanayoweza kusababisha ugumba kwa mwanamke endapo hatapatiwa tiba kwa wakati.

28 February 2023, 6:18 pm

Serikali yasaini mkopo nafuu kuboresha huduma za Afya

Huduma zitakazo boreshwa ni pamoja na kupunguza vifo vya mama na mtoto, kuboresha huduma za dharura, kuboresha rasilimali watu katika Sekta ya afya, kuboresha utendaji na ufanisi kwenye ngazi ya zahanati. Na Pius Jayunga. Serikali ya Tanzania na Banki kuu…

23 January 2023, 11:47 am

Mvumi Misheni walia na gharama za matibabu

Na; Victor Chigwada.                                    Licha ya huduma zinazotolewa katika hospitali ya Mvumi Misheni bado wananchi wametaja gharama za matibabu katika hospitali hiyo kuwa changamoto. Hayo yameelezwa na mwenyekiti wa kijiji cha Mvumi Bw.Alpha Zoya wakati akizungumza na Taswira ya Habari…

10 May 2022, 2:02 pm

Vyuo vya Afya 20 kuchukuliwa hatua kwa kufanya udanganyifu

Na:Mindi Joseph. Katibu Mkuu wa Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Prof. Abel Makubi ameagiza NACTVATE kuvi chukuliwa hatua Vyuo 20 vya afya vilivyokaguliwa na kufanya udanganyifu ili kulinda viwango vya taaluma ya afya Nchini. Akizungumza…

26 March 2021, 9:49 am

Ihumwa waomba kuboreshewa soko

Na; Shani Nicolaus.           Wafanyabiashara  katika Mtaa wa Ihumwa jijini Dododma wametoa wito wa kukarabatiwa soko lao ili waepukane na changamoto wanayokumbana nayo hasa msimu wa mvua. Wakizungumza na Dodoma fm wafanyabiashara hao wameomba kutatuliwa adha hiyo mara baada ya kukamilika…