Dodoma FM

shule

25 November 2025, 8:23 am

Umbali mrefu wa shule changamoto kwa wanafunzi mtaa wa Matias

Mwenyekiti wa mtaa huo Bi Dorini amewaomba wananchi kuendelea kuwa wavumilivu na kushirikiana na serikali za mitaa katika kufanikisha ujenzi wa shule hiyo. Na Anwary Shaban.Wananchi wa Mtaa wa Matiasi jijini Dodoma wameeleza kuendelea kutaabika kutokana na changamoto ya ukosefu…

8 October 2025, 12:37 pm

Wananchi Mzula, Chikanga waomba shule ya sekondari

Mwenyekiti wa Kijiji Cha Muungano Matonya Mtukamsihi     amesema zimekuwepo hatua za wananchi kuanzisha ujenzi wa shule ya sekondari lakini hazijafanikiwa kukamilika. Na Victor Chigwada. Wananchi wa vitongoji Mzula na Chikanga Kata ya Muungano Wilaya ya Chamwino wameiomba serikali kutimiza azima…

6 May 2025, 5:29 pm

Umbali chanzo mimba wanafunzi Muungano, wakatiza masomo

Hata hivyo serikali ilishatangaza ujauzito isiwe sababu ya mwanafunzi kuacha masomo hivyo kuwaruhusu wanafunzi waliokatiza masomo yao kwa sababu hizo kurejea shuleni. Na Victor Chigwada. Imeelezwa umbali wa kilomita kumi kuifikia sekondari kwa wanafunzi wa kijiji cha Muungano imekuwa sababu…

2 January 2025, 5:56 pm

Kidoka waomba serikali kuingilia kati ujenzi wa sekondari

Wakazi wa kijiji hicho wameendelea kuiomba serikali kuingilia kati suala hilo la ujenzi wa sekondari kijijini hapo kwani ni la muda mrefu. Na Mariam Kasawa.Wakazi wa Kijiji cha Pangalua kata ya Kidoka wilayani Chemba walalamikia ucheleweshaji wa ujenzi wa Sekondari…

5 March 2024, 6:48 pm

Chihoni waomba serikali kuwasaidia ukarabati wa madarasa

Endapo Ukarabati wa madarasa hayo utafanyika utaweka miundombinu ya shule hiyo katika hali ya usalama kwa wanafunzi katika ujifunzaji. Na Mindi Joseph. Wanachi katika Mtaa wa Chihoni kata ya Nala wameiomba serikali kuwasaidia ukarabati wa madarasa 4 ya shule ya…