Dodoma FM

michezo

7 November 2025, 10:16 am

Makala ya kurunzi kuhusu matumizi ya AI

“Kutokana na uwezo wake wa kuboresha huduma katika sekta mbalimbali kama vile afya, elimu, usafiri, na biashara, AI inatoa faida nyingi“ Na Dorcus Charles Katika ulimwengu wa leo, teknolojia ya Akili Bandia (AI) imekuwa sehemu muhimu ya maisha yetu ya…

17 October 2025, 8:18 am

Wahanga wa bili kubwa za maji Terrat waeleza changamoto

Na Isack Dickson Wakazi wa Kijiji cha Terrat, Wilayani Simanjiro mkoani Manyara, wanakabiliwa na changamoto ya kupokea bili za maji ambazo hazilingani na matumizi yao halisi, huku wakidai kuwa bei hizo ni kubwa na zinawatesa. Baadhi yao wanasema kuwa bili…

15 October 2025, 11:54 am

Athari za utupaji wa taka ngumu hovyo kwenye mazingira

Kurunzi Maalum Katika Kurunzi Maalum ya juma hili, tunamulika tatizo linaloikabili jamii yetu: Athari za kimazingira za utupaji wa taka ngumu hovyo. Je, unafahamu madhara ya rundo la plastiki, chupa, matairi, na vifaa vingine vilivyoharibika vinavyotupwa kando ya barabara, mito,…

14 October 2025, 5:07 pm

Wiki ya nenda kwa usalama barabarani, kupunguza ajali

Na Isack Dickson Katika kukabiliana na takwimu za vifo zaidi ya milioni 1.3 vinavyotokana na ajali za barabarani duniani kila mwaka, Jeshi la Polisi nchini, kupitia kitengo cha usalama barabarani, limesisitiza kwa madereva wote kuhakikisha vyombo vyao vinakaguliwa kabla ya…

10 October 2025, 2:37 pm

Utupaji taka ngumu na athari kimazingira

Kurunzi Maalum Utupaji hovyo wa taka ngumu kama plastiki, chupa, matairi na vifaa vya elekroniki unazidi kuwa tatizo kubwa kwa mazingira, taka hizo huchukua muda mrefu sana kuoza, mara nyingi taka hizi huzuia mifereji ya maji, kusababisha mafuriko na kutoa…

8 October 2025, 13:08

Kasulu watakiwa kuwekeza kwenye kilimo cha pamba

Serikali kupitia Idara ya Kilimo Wilaya ya Kasulu mkoani Kigoma imewataka wananchi kuhakikisha wanawekeza katika kilimo cha pamba ili kujiongezea kipato kwa familia na taifa kwa ujumla. Na Hagai Ruyagila Wananchi wilayani Kasulu mkoani Kigoma wametakiwa kuwekeza nguvu katika kilimo…

3 October 2025, 1:30 pm

‘Chanjo ya mbwa ni kinga ya maisha’

Kurunzi Maalum Katika jitihada za kukabiliana na ugonjwa hatari wa kichaa cha mbwa, jamii na serikali zinahimizwa kushirikiana ili kuhakikisha idadi kubwa ya mbwa wanapata chanjo kila mwaka. Ugonjwa huu, unaosababishwa na virusi, bado unaendelea kuwa tishio kwa binadamu na…