Dodoma FM

michezo

2 December 2025, 3:23 pm

Vijana Katavi wahamasika kulima zao la alizeti

“Tunawahakikishia tunawalink na taasisi mbalimbali za kifedha” Na Anna Milanzi Vijana kutoka katika kikundi cha kijana jitambue kilichopo manispaa ya Mpanda mkoani Katavi wamehamasika kulima zao la alizeti kutokana na zao hilo kuwa na thamani . Hayo yamejiri mara baada…

19 November 2025, 12:33

DC Kasulu ataka watumishi wa umma kuanzisha mashamba darasa

Mashamba darasa ni maeneo maalumu yanayotumika kufundishia na kuonesha mbinu mbalimbali za kilimo kwa vitendo na ni darasa wazi linalomuwezesha mkulima kujifunza kwa kuona na kushiriki moja kwa moja katika shughuli za kilimo. Na Michael Mpunije Mkuu wa wilaya ya…

19 November 2025, 12:01 pm

DC Jamila: Vijana tumieni fursa kujiajiri

Mkuu wa wilaya ya Mpanda Jamila Yusuph akikabidhi mbegu kwa mkulima. Picha na Restuta Nyondo “Sisi kama wilaya tumejipanga kuwawezesha vijana waweze kujiajiri katika kilimo” Na Restuta Nyondo Vijana wilayani Mpanda wametakiwa kutumia fursa ya maonesho ya ufunguzi wa msimu…

18 November 2025, 17:16

Miche 200,000 ya kahawa yagawiwa kwa wakulima Kasulu

Wakulima katika Halmashauri ya Wilaya Kasulu Mkoani Kigoma wametakiwa kujikita katika kilimo cha kahawa ili waweze kujikwamua kiuchumi Na Emmanuel Kamangu Halmashauri ya Wilaya ya Kasulu Mkoani Kigoma leo Jumanne Novemba 18, 2025, imetoa jumla ya miche 200,000 ya Kahawa…

18 November 2025, 10:20 am

Umuhimu wa elimu ya jinsia kwa njia ya asili

Kurunzi maalum Elimu ya kijinsia ni mchakato wa kujifunza na kupata maarifa, stadi na mitazamo sahihi kuhusu masuala yote yanayohusu jinsia ya binadamu. Sikiliza makala hii kwa elimu zaidi. Lengo la msingi wa elimu ya jinsia ni kuwapa watu uwezo…

17 November 2025, 08:56

Ujenzi wa masoko 14 pembezoni mwa barabara wafikia 75% Kigoma

Mkoa wa Kigoma umeanza rasmi utekelezaji wa ujenzi wa masoko pembezoni mwa barabara umeanza ili kuhakikisha wajasiriamali wanapata sehemu ya kuuzia. Na Mwandishi wetu Serikali mkoani hapa  inatekeleza mradi wa ujenzi wa masoko madogo 14 yenye Thamani ya Shilingi Mil.490…

10 November 2025, 8:00 am

Akili Unde: mfariji mpya au tishio liliojificha?

Akili mnemba (AI) sasa imeingia kwenye maisha ya kila siku kuanzia vyuoni, biashara hadi mahusiano binafsi, Wengine wanaona ni mkombozi wa elimu na ufanisi, wengine wanaiona kama hatari inayotishia fikra za kibinadamu. Na Isack Dickson Kadiri dunia inavyokumbatia teknolojia, matumizi…