Dodoma FM
Dodoma FM
8 April 2025, 5:58 pm
Huku chanzo ikidaiwa kuwa niutani ulipelekea kiongozi huyo na vijana wengine wawili kumshumbulia na kumsababishia majeraha sehemu ya kichwani na mikononi. Na Kitana Hamis.Kijana aliyefamika kwa Jina la Abdalla Omary Said, Mwenye Umri wa miaka 30, mkazi wa Magugu,Wilayani Babati…
18 February 2025, 6:39 pm
Miongoni mwa walio Hudhuria Mkutano huo nipamoja na Wananchi wa Vijiji vya Wilaya ya Chemba. Na Kitana Hamis.Naibu waziri wa Ardhi Mh Geofrey Pinda ameunda tume ya kuchunguza mgogoro wa ardhi wilayani Kiteto uliodumu kwa muda mrefu. Awali wenyeviti wa…
14 June 2024, 12:45 pm
Dodoma Tv itaendelea kufuatilia kwa ukaribu zaidi sakata hilo ili kujua hatima yake kutoka na kuleta Sintofahamu katika eneo hilo. Na Fred Cheti. Wakazi wa mtaa wa Mapinduzi kata ya Mbabala wameiomba serikali kuingilia kati mgogoro wa uchimbaji wa mchanga…
7 September 2023, 10:21 pm
Tukio la kunajisiwa Kanisa ni la pili kutokea mkoani Geita ikiwa ni miezi sita imepita baada ya kijana mmoja mkazi wa Geita kudaiwa kuvamia Kanisa Kuu la Kiaskofu Jimbo la Geita na kufanya uharibifu uliosababisha hasara ya Sh. milioni 48.2.…
4 February 2023, 11:08 AM
Na Lawrence Kessy Askofu wa Jimbo Katoliki la Morogoro, Mhashamu Askofu Lazarus Vitalis Msimbe, SDS amewaomba mapadre na watawa kutumia hekima na busara za mababa wa Kanisa waliobobea kupitia maandiko mbalimbali ili wapate miongozo ili kupata uzoefu katika maisha ya…
3 March 2022, 2:11 pm
Na; Benard Filbert. Mgogoro unaoendelea hivi sasa kati ya Urusi na Ukraine umetajwa kuleta athari kubwa za kiuchumi barani Afrika ikiwepo kupanda kwa bei ya nishati ya mafuta. Hayo yameelezwa na Profesa Enock Wiketie mchambuzi wa masuala ya uchumi kutoka…