Dodoma FM

Mahakamani

4 June 2021, 2:06 pm

Ole Sabaya afikishwa mahakamani

Leo Juni 4, 2021 aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Hai mkoani Kilimanjaro, Lengai Ole Sabaya na wenzake wanne wamefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Arusha kujibu tuhuma zinazowakabili. Hayo yanajiri ikiwa ni siku chache zimepita baada ya Rais wa Jamhuri…

12 January 2021, 1:23 pm

Sita wapandishwa kizimbani kwa tuhuma za wizi

Na,Zakia Ndulute, Dodoma. Mahakama ya Hakimu Wilaya ya Dodoma imewapandisha kizimbani washtakiwa sita wakazi wa Dodoma kwa kosa la unyang’anyi wa kutumia silaha.Mahakama imemshikilia Mtuhumiwa PIUS JOSEPH YOHANA (20), ALOYCE ISSACK(18), LUCK PAULO(18), RAMADHANI MUSA(20), MUSTAPHA ABUU(20) pamoja na ONESMO…

10 December 2020, 2:51 pm

Wawili wapandishwa kizimbani kwa tuhuma za kujeruhi

Na Zakia Ndulute, Dodoma. Mkazi wa Dabalo Wilaya ya Chamwino Bw.Msafiri Samson (38) na Samwel Msafiri (33) leo wamepandishwa kizimbani katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Wilaya ya Dodoma kwa shitaka la kujeruhi kitendo ambacho ni kosa kisheria.Wakisomewa shitaka lao mbele…

5 December 2020, 10:56 am

Apandishwa kizimbani kwa tuhuma za kuua

Na Zakia Ndulute, Dodoma. Mkazi wa Railway katika Wilaya ya Dodoma HAMALA DALA(32) amepandishwa kizimbani katika Mahakama ya Wilaya ya Dodoma kwa shitaka la kuua kwa kukusudia.Akisomewa shitaka lake mbele ya Hakimu wa Wilaya ya Dodoma PASCHAL MAYUMBA na mwendesha…

3 December 2020, 3:31 pm

Afikishwa mahakamani kwa kukutwa na dawa za kulevya

Na,Zakia Ndulute, Dodoma. Mkazi wa Mkalama ‘A’ jijini Dodoma ENOCK JOHN [24] leo amepandishwa kizimbani katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Mkoa wa Dodoma kwa shitaka la kukutwa na madawa ya kulevya.Akisomewa shitaka lake mbele ya Hakimu Mkazi Mkoa wa Dodoma…