Dodoma FM
Dodoma FM
17 December 2025, 9:18 pm
Kikundi hicho kabla ya kufanya mkutano mkuu wa mwaka , kimefanya matembezi kuelekea katika kituo cha afya Nyarugusu kwa ajili kutoa zawadi kwa wagonjwa , vifaa tiba pamoja na kuchangia damu. Na Mrisho Sadick: Viongozi wa dini katika Kata ya…
12 December 2025, 1:55 pm
RUWASA imetakiwa kuhakikisha inapunguza upotevu wa maji na malalamiko ya bili kwa kufunga mita za wateja majumbani badala ya sehemu zilizo mbali na makazi yao. Na Mrisho Sadick: Hali ya upatikanaji wa maji safi na salama wilayani Nyang’hwale mkoani Geita…
5 December 2025, 10:58 am
“Ulinzi kwa watoto wakati wa likizo ni vyema ukazingatiwa ili kuwalidhi shidi ya matukio ya ukatili” Na Fredrick Siwale Wazazi na Walezi Halmashauri ya Mji wa Mafinga Mkoani Iringa wametakiwa kuwalinda Watoto wao kipindi cha likizo ya mwisho wa mwaka…
December 4, 2025, 7:30 pm
Mwenyekiti wa Halmashauri ya Wilaya ya Kasulu amewataka madiwani wenzake kutambua kuwa nafasi walizokabidhiwa ni za muda, hivyo wanapaswa kufanya kazi kwa bidii na kujituma ili waache alama chanya kwa wananchi wanaowatumikia. Na; Emily Adam Madiwani wateule wa Halmashauri ya…
December 4, 2025, 6:19 pm
Madiwani wa Kata mbalimbali katika Halmashauri ya Wilaya ya Kasulu wamepewa maelekezo ya kufanya baada ya kula viapo vyao vya kuwatumikia wananchi katika kata zao. Na; Emily Adam Watumishi wa sekata mbalimbali na Madiwani wa Halmashauri ya Wilaya ya Kasulu…
3 December 2025, 7:18 pm
Mradi huo utatekelezwa kwa miaka miwili, utatoa huduma ya upimaji, utoaji wa bima za Afya kwa watoto zaidi ya 300 ambao hawana uwezo wa kumudu matibabu. Na Mrisho Sadick: Serikali kwa kushirikiana na wadau mbalimbali imeendelea kuimarisha mapambano dhidi ya…
December 3, 2025, 5:07 pm
Madiwani wa Kata mbalimbali katika Halmashauri ya Mji Kasulu wameahidi kusimamia miradi yote ya maendeleo pamoja na kusimamia ukasanyaji wa mapato katika Halmashauri hiyo ili kuiwezesha serikali kujitegemea kupitia mapato ya ndani. Na; Sharifat Shinji Madiwani wateule katika Halmashauri ya…
30 November 2025, 2:35 pm
Iwapo wananchi hawatachukua hatua za haraka za kujitokeza kufanya uchunguzi wa magonjwa yasioambukiza yanaweza kuleta madhara makubwa ikiwemo figo kufeli. Na Mrisho Sadick: Chama cha ugonjwa wa kisukari Tanzania kwa kushirikiana na ofisi ya mganga mkuu wa mkoa wa Geita…
26 November 2025, 6:08 pm
Tafiti zinaonesha kuwa Kwenye watu 100 watu 9 hadi 10 wanaugonjwa wa kisukari nchini huku jamii ikisisitizwa kuendelea kupima afya zao mara kwa mara. Na Mrisho Sadick: Zaidi ya watu 500 kutoka maeneo mbalimbali ya mji mdogo wa Katoro wilayani…
24 November 2025, 3:41 pm
Walimu na maafisa kilimo kushirikiana kuongeza uzalishaji wa chakula shuleni kupitia mashamba ya shule Na Mrisho Sadick: Wilaya ya Bukombe Mkoani Geita imetenga kiasi cha zaidi ya shilingi milioni 86 kwa ajili ya utekelezaji wa shughuli za lishe kwa mwaka…