Dodoma FM

Uncategorized

8 December 2020, 2:51 pm

Mfumuko wa bei wa Taifa washuka

Na,Mindi Joseph, Dodoma. Mfumuko wa bei wa Taifa umepungua kutoka asilimia 3.1 hadi 3.0 kwa mwezi Novemba kufuatia kasi ya mabadiliko ya bidhaa nchini Kupungua.Kupungua kwa mfumuko wa bei kwa mwaka ulioishia mwezi Novemba 2020 imechangiwa na kupungua kwa bei…

8 December 2020, 7:55 am

Baloteli ajiunga na Monza ya daraja la pili Italia

Monza, Italia. Mshambuliaji wa Kimataifa wa Italia, Mario Balotelli ambaye amekuwa bila klabu tangu majira ya joto, Sasa anarejea Katika Soka akijiunga na klabu cha daraja la pili huko Italia AC Monza inayomilikiwa na Silvio Berlusconi na Adriano Galliani. Klabu…

7 December 2020, 9:06 am

Ntibazonkiza aishuhudia Yanga ikiondoka na pointi tatu

Dar Es Salaam. Mshambuliaji mpya wa klabu ya soka ya Yanga Said Ntibazonkiza hapo jana alikaa jukwaani kuishuhudia timu yake ikiibuka na ushindi wa bao 2-1 dhidi ya maafande wa Ruvu Shooting. Ntibazonkiza anatarajia kuanza kuitumikia Yanga kuanzia Sesemba 15…

5 December 2020, 10:50 am

Vieira atimuliwa Nice

Nice, Ufaransa. Klabu ya Nice imemfuta kazi kiungo wa zamani wa Ufaransa na Arsenal, Patrick Vieira kama kocha wao Mkuu baada ya miaka miwili na nusu ndani ya Klabu hiyo ya Ligue 1.Klabu hiyo ya Ufaransa imepoteza michezo mitano mfululizo,…

4 December 2020, 10:33 am

Bozizé akosa sifa ya kuwania Urais C.A.R

Bangui, C.A.R. Mahakama ya Katiba imethibitisha uamuzi wa Tume huru ya uchaguzi nchini humo kuwa rais wa zamani wa nchi hiyo François Bozizé , hana nafasi ya kuwania urais katika uchaguzi wa Desemba 27 nchini humo. François Bozizé anashtumiwa kwa…

4 December 2020, 9:43 am

Gwiji wa Manchester United Gary Neville ailaumu FA

Manchester, England. Gwiji wa Manchester United Gary Neville ametoa wito kwa chama cha soka England FA kutoa mafunzo maalum kwa wachezaji wanaohamia kucheza katika klabu mbalimbali za ligi kuu ya primia huku akilaumu chama hicho kwa kutofanya hivyo. Kauli ya…

4 December 2020, 8:25 am

Dodoma Jiji Fc yajipanga kibabe kuwakabili KMC leo

Kocha Msaidizi wa Dodoma Jiji FC Renatus Shija amesema watatumia dirisha dogo la usajili kuboresha baadhi ya nafasi katika kikosi chao ambazo zimeonekana kupwaya. Shija ambaye timu yake itashuka dimbani hii leo kuvaana na KMC Fc katika dimba la Uhuru…