Dodoma FM

uchumi

21 May 2021, 12:15 pm

Vijana Dodoma wazitaka taasisi za maendeleo kuwapa elimu

Na; Thadey Tesha Vijana jijini Dodoma wamezitaka taasisi za maendeleo ya vijana kuwapa elimu na kuwahamasisha kuchukua mkopo wa asilimia mbili unaotolewa na Halmashauri kwa ajili ya kuwawezesha kujikwamua kiuchumi. Wakizungumza na Dodoma fm vijana hao wamesema  wanashindwa kunufaika na…

18 May 2021, 7:41 am

Wazazi: Vijana wageuze elimu zao kuwa chanzo cha ajira

Na; Alfredy Sanga Baadhi ya vijana wameeleza jinsi ambavyo kijana anaweza kujiajiri na kutafuta fursa mbali mbali katika kujikwamua kimaisha, badala ya kutegemea kuajiriwa  kutokana na ukosefu wa ajira nchini. Wakizungumza na taswira ya habari vijana hao wamesema kitu kikubwa…

17 May 2021, 1:40 pm

Imani ndogo usimamizi wa fedha changamoto kwa wanawake

Na; Yussuph Hans Ujuzi wa usimamizi wa masuala ya fedha pamoja na kukosa umiliki wa uchumi ni baadhi ya changamoto ambazo zimeendelea kuwakumba Wanawake Nchini. Licha ya changamoto hizo kumekuwepo na kundi la wanawake ambao wanamiliki Uchumi kupitia Ajira katika…

10 May 2021, 11:24 am

Wafugaji watakiwa kutumia njia bora za ulishaji wa mifugo

Na; Thadei Tesha. Wafugaji nchini wameshauriwa kutumia njia bora za kisasa na kiteknolojia za  kulisha mifugo ili kuleta tija katika  soko la mifugo  nchini. Akizungumza katika mahojiano maalum na kipindi cha taswira ya habari mtaalamu na mtafiti kutoka kituo cha…

4 May 2021, 11:51 am

NGOs zatakiwa kusimamia miradi inayo lenga kuwasaidia wananchi

Na; Mariamu Matundu. Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia Wazee na Watoto anayeshughulikia Maendeleo ya Jamii, Mwanaidi Ali Khamis ameyaagiza Mashirika Yasiyo ya Kiserikali (NGOs) nchini kuhakikisha miradi yanayoisimamia inalenga kuwasaidia wananchi ili waweze kujikwamua kiuchumi. Naibu Waziri…

12 April 2021, 12:48 pm

Wananchi changamkieni fursa , Bomba la mafuta la hoima

Na; Mariam Matundu. Waziri wa Nishati Dkt Medard Kalemani amewataka wananchi kujitokeza kuchangamkia fursa ambazo zitajitokeza Katika Hatua zote za Utekelezaji wa Ujenzi wa Mradi wa  kimkakati wa Bomba la Mafuta la hoima Mpaka Tanga ambao unaanza Mwezi huu .…