Dodoma FM

makao ya watoto

28 November 2023, 6:00 pm

Waziri Mkuu atoa Tamko mradi uboreshaji milki za Ardhi

Mradi huu unatekelezwa  katika kipindi cha miaka mitano (5) na una vipengele vinne (4) ambavyo ni Kuongeza  Usalama wa Milki; Kuimarisha Mifumo ya Taarifa za Ardhi; Kujenga Miundombinu ya  Ardhi na Usimamizi wa Mradi. Na Seleman Kodima. Wakurugenzi wa Halmashaurii…

18 October 2023, 9:48 am

Wakazi wa Nholi waaswa kuepuka migogoro ya ardhi

Kupitia zoezi la urasimishaji wa ardhi nchini itasaidia kutoa hati ya umiliki wa vipande vya ardhi na kupunguza changamoto za kugombania na mashamba. Na Victor  Chigwada.                                                       Wito umetolewa kwa wananchi wa kijiji cha Nholi kuepukana na migogoro ya ardhi…

4 September 2023, 4:09 pm

Kigoma Ujiji kupima, kusajili makazi 10,000 katika mitaa 25

Mradi huu umelenga kuboresha usalama wa milki za ardhi kwa kupanga, kupima na kusajili milki za ardhi zipatazo milioni 2.5 zinazojumuisha hatimilki 1,000,000 na Leseni za Makazi 1,000,000 katika maeneo ya mijini na Hati za Hakimilki za Kimila 500,000 vijijini.…

23 February 2023, 4:46 pm

Wananchi waelezwa utaratibu wa kupata Hati miliki za Ardhi

hati miliki zina faida nyingi kwa Serikali na wananchi ikiwemo kupata fursa za mikopo katika ofisi za kifedha. Na Benadetha Mwakilabi. Wananchi wameelezwa umuhimu na utaratibu wa kupata hati miliki za ardhi ili ziweze kuwasaidia katika fursa mbalimbali ikiwemo mikopo.…