makao ya watoto
23 January 2023, 10:25 am
Wizara ya Ardhi kutoa hatimiliki
Na; Seleman Kodima. Wizara ya Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi kupitia Mradi wa Uboreshaji Usalama wa Milki za Ardhi (LTIP) inatarajia kutoa Hati Milki za Ardhi milioni moja katika maeneo ya mijini pamoja na Hati Miliki za Kimila laki…
18 January 2023, 2:20 pm
Wananchi watakiwa kuacha ubinafsi
Na; Lucy Lister. Naibu waziri wa sanaa utamaduni na michezo na mbunge wa jimbo la Babati mjini Mh. Pauline Gekul amewataka watanzania kuacha ubinafsi na kuwa na moyo wa kusaidia wengine kama alivyofanya baba wa Taifa mwalimu Julius Kambarage Nyerere…
18 January 2023, 2:03 pm
Wananchi waomba elimu Umiliki ardhi
Na; Mariam Matundu. Wananchi jijini Dodoma wamesema kuwa elimu ya umiliki wa ardhi inatakiwa kutolewa kwa jamii ili kupunguza migogoro ya ardhi inayojitokeza maeneo mbalimbali. wakizungumza na Taswira ya habari wamesema baadhi ya wananchi hawajui ni kwanamna gani wanaweza kuwa…
10 August 2022, 2:33 pm
Urasimishaji ardhi ni changamoto kwa wananchi wasio kuwa na elimu juu ya zoezi h…
Na; Victor Chigwada. Pamoja na faida za urasimishaji na upimaji wa ardhi nchini lakini zoezi hili limekuwa na changamoto kadhaa wa kadha kwa baadhi ya maeneo kutokana na uelewa mdogo wa wananchi Taswira ya habari imezungumza na Jane samsoni ambaye…
26 May 2022, 11:43 am
Wakazi wa Chididimo waiomba halmashauri kuwashirikisha katika suala la ununuzi…
Na;Mindi Joseph. Wananchi wa Mtaa Chididimo Kata Zuzu wameiomba halmashauri ya jiji la Dodoma kuwashirikisha kikamilifu katika suala la kutaka kununua mashamaba yao kwa ajili ya kufanya kilimo cha kisasa cha zao la zabibu. Wameyasema hayo wakati wakizungumza mbele ya…
27 August 2021, 10:58 am
Waziri Gwajia awataka wazazi kuwajibika ipasavyo katika malezi ya familia zao
Na; Mariam Matundu. Waziri wa afya maendeleo ya jamii jinsia wazee na watoto Dkt. Doroth Gwajima amekemea wazazi wanaochangia uwepo wa watoto wa mitaani na wanaoishi kwenye maingira magumu kwa kuwa wameshindwa kuwajibika ipasavyo katika malezi ya familia zao. Hayo…