Dodoma FM

jamii

17 August 2021, 11:33 am

Jamii yaaswa kuacha tabia ya kujichukulia sheria mkononi

Na; Alfred Bulahya. Imeelezwa kuwa watoto wasiopungua 10 wameuawa kutokana na kupigwa na kuchomwa moto ndani ya jiji la Dodoma katika kipindi cha miaka mitano iliyopita kitendo ambacho kinatajwa kuwa ni ukiukwaji wa haki za binadamu. Hayo yamebainishwa leo na…

16 August 2021, 1:33 pm

Jamii yaombwa kumsaidia mtoto Feisal

Na; Mariam Matundu. Jamii imeombwa kumsaidia mtoto faisal ambae amezaliwa na uleamvu kupata bima ya afya na mahitaji mengine muhimu kwa kuwa anaishi katika mazingira magumu. Mtoto faisal anaishi na mama yake huku baba mzazi wa mtoto huyo hajulikani alipo,mwandishi…

27 July 2021, 1:13 pm

Jamii yatakiwa kujifunza ili kuepusha matukio yanayo tokea

Na; Shani Nicolous. Kufuatia kwa matukio mbalimbali ya moto katika jamii hususani wanawake kuchoma nyumba za wananume kwa wivu wa mapenzi jamii imetakiwa kufunguka na kujifunza namna ya kuepusha matukio hayo. Akizungumza na Dodoma fm Mwanasaikolojia kutoka shirika la kisedet…

25 June 2021, 1:35 pm

Asasi za kiraia zapongezwa mapambano dhidi ya dawa za kulevya

Na; Benard Filbert. Kamishna msaidizi wa kinga na huduma za jamii kutoka mamlaka ya kudhibiti na kupambana na dawa za kulevya Bi.Moza Makumburi amezipongeza asasi mbalimbali za kiraia zinazoshirikiana na Serikali kuzuia matumizi na biashara hiyo nchini. Akizungumza na Dodoma…

31 May 2021, 3:36 pm

Viongozi wa Dini waombwa kuimarisha mafundisho ya kiroho

Na;Yussuph Hans. Wito umetolewa kwa Viongozi wa dini kuendelea kuimarisha Malezi na mafundisho ya kiroho ndani ya jamii ili kuepusha mmomonyoko wa maadili na kujenga kizazi bora. Wito huo umetolewa na wakazi jijini hapa wakati wakizungumza na taswira ya habari…