Radio Tadio

Utamaduni

13 Septemba 2024, 7:29 um

Sango Darajani hatarini magonjwa ya mlipuko

Wafanyabiashara wa vyakula wanasema eneo hilo ni hatari kwa biashara zao kwani inaweza kusababisha magonjwa ya mlipuko. Na Fatuma Maneno . Wananchi na wafanyabiashara wa Sango Darajani jijini Dodoma katika soko la Majengo, wamehofia usalama wa afya zao kutokana na…

11 Septemba 2024, 10:24 mu

Changamoto ya taka Geita mjini bado kizungumkuti

Changamoto ya taka Geita mjini bado ni kitendawili wananchi watajwa kuwa kikwazo kwa kushindwa kupeleka taka hizo sehemu husika. Na Amon Bebe: Licha ya uwepo wa gari linalopita mtaani kukusanya taka katika Halmashauri ya Mji wa Geita mkoani Geita baadhi…

10 Septemba 2024, 7:22 um

Urejeshaji taka fursa mpya kwa vijana

Na Mariam Kasawa. Mahfoudh Haji ni makamu mwenyekiti wa taasisi ya Green Samia Foundation anasema taka ni fursa hasa kwa vijana lakini uelewa bado ni mdogo kwani wengi wanaamini waokota taka rejeshi ni watu duni hivyo kuidharau kazi hii. Kutokana…

9 Septemba 2024, 7:52 um

Tabiawatu ni chanzo cha uharibifu wa mazingira

Hali ya Mazingira Tanzania inatajwa kuwa mbaya huku Sheria kizani zikichangia. Na Mindi Joseph. Hali ya Mazingira Tanzania inatajwa kuwa mbaya huku Sheria kizani zikichangia. Tabia watu inasababishwa na shughuli za binadamu zisizo endelevu ikiwemo matumizi ya nishati chafu ufugaji…

5 Septemba 2024, 8:02 um

Taka  ni fursa  kwa uwekezaji na ajira

Bidhaa zinazozalishwa kutokana na taka za mifuko chakavu na plastiki cha Future Corolful kilichopo Jijini Dodoma Na Mariam Kasawa. Waziri  wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muunganona Mazingira) Mhe. Dkt. Ashatu Kijaji  amefanya ziara ya kukagua  uzingatiaji wa sheria…

13 Agosti 2024, 4:36 um

Wawekezaji watakiwa kufanya tathmini ya athari kwa mazingira

Tathmini ya athari kwa mazinngira na jamii inajumuisha tathmini mbalimbali, kuanzia uchanganuzi wa bioanuwai na ubora wa maji hadi athari za matumizi ya ardhi na jamii ya wenyeji wa eneo husika. Na Mariam Kasawa.Wawekezaji wametakiwa kufanya tathmini ya athari kwa…

12 Agosti 2024, 3:51 um

Taka za kielektroniki ni fursa na ajira

Shirika la Kazi Duniani, ILO linasema licha ya uzalishaji mkubwa wa taka hizo za kielektroniki ni asilimia 20 tu ya tani hizo za kielektroniki ndio hurejelezwa katika mazingira rasmi. Na Mariam Kasawa.Inaelezwa kuwa taka za kieletroniki zinazo zalishwa na kutupwa…

5 Agosti 2024, 5:05 um

Utupaji taka ovyo unavyo haribu mazingira

Wananchi wanapaswa kuendelea kutunza mazingira kwa kutotupa taka ovyo, kupanda miti ili kuifanya dunia kuwa mahali salama pa kuishi. Na Mariam Kasawa.Utupaji wa taka ovyo unatajwa kuharibu mazingira kwa kiasi kikubwa kwa kusababisha taka nyingi kusambaa ovyo. Jiji ya Dodoma…