Utamaduni
26 Oktoba 2025, 8:42 um
Wasimamizi vituo vya kupigia kura watakiwa kuzingatia sheria
Zaidi ya wasimamizi wakuu na wasaidizi wa vituo vya kupigia kura 1,950 wanatarajia kwenda kusimamia vituo 650 vya kupigia kura katika jimbo la Sengerema wamekura kiapo cha uadilifu ili kutekeleza jukumu la uchaguzi mkuu jimbo la Sengerema. Na Mwandishi wetu…
24 Oktoba 2025, 8:47 um
Serikali yalipa fidia bilioni 2.9 Manyara
Kaya (28) za maeneo ya Msasani Maisaka A na Maisaka Kati Wilayani Babati, mkoa wa Manyara zimelipwa fidia ya bilioni 2.9 baada ya maeneo yao kuchukuliwa na serikali kwa matumizi ya huduma za kijamii. Na Mzidalfa Zaid Taarifa ya malipo…
22 Oktoba 2025, 6:51 um
SAU Kushughulikia changamoto za afya na barabara Buchosa
Kampeni kuelekea uchaguzi mkuu zinaendelea maeneo mbalimbali ya nchi ambapo wagombea watoa ahadi ili wachaguliwe october 29 2025 Na,Mwandishi wetu Mgombea ubunge jimbo la Buchosa kwa chama cha Sauti ya umma (SAU) Bi.Consolatha Cleophance Mtalyantula ameahidi kutatua changamoto za barabara…
12 Oktoba 2025, 5:02 um
Mgombea CHAUMMA aahidi kuleta maendeleo Buchosa
Kuelekea uchaguzi mkuu mwaka 2025 chama cha CHAUMMA kimeendelea na kampeni zake za kusaka kura kwa wananchi, kwa kuelezea sera na irani ya chama hicho. Na,Mwandishi wetu Mgombea ubunge jimbo la Buchosa kupitia chama cha Ukombozi wa umma (CHAUMMA) Ester…
29 Septemba 2025, 2:13 um
Uzembe kisheria unavyoharibu mazingira Dodoma sehemu ya 2
Utupaji wa taka ovyo unatajwa kuharibu mazingira kwa kiasi kikubwa kwa kusababisha taka nyingi kusambaa ovyo. Na Mariam Kasawa. Msikilizaji, leo tunazungumzia Kutotekelezwa kwa sheria ya usimamizi wa mazingira ya mwaka 2004 sura 20 kufungu cha 114-116 kumesababisha kulundikana kwa…
26 Septemba 2025, 2:14 um
Uzembe kisheria unavyoharibu mazingira Dodoma
Msikilizaji, leo tunazungumzia Kutotekelezwa kwa sheria ya usimamizi wa mazingira ya mwaka 2004 sura 20 kufungu cha 114-116 kumesababisha kulundikana kwa taka za majumbani katika mitaa ya Chanagnyikeni, Kibaoni na St Gemma katika kata ya Miyuji Jijini Dodoma. Na Mariam…
14 Agosti 2025, 5:40 um
Yafahamu maua kwa ishara ya usafi na uwiano wa asili
Ethaning Flowers wanaamini kuwa utunzaji wa mazingira na maua ni mambo yanayoshirikiana kwa karibu. Na Lilian Leopold. Katika ulimwengu wa leo unaokabiliwa na changamoto za mabadiliko ya tabianchi na uchafuzi wa mazingira, Ethaning Flowers wamejipambanua kama taasisi inayothamini uzuri na…
13 Agosti 2025, 4:58 um
Mpanda yajiandaa kutoa elimu kwa wakulima
Mkuu wa wilaya ya Mpanda Jamil Yusuph. Picha na Samwel Mbugi “Tumedhamiria kufanya maonesho kabla yamsimu wa kilimo” Na Samwel Mbugi Mkuu wa wilaya ya Mpanda Jamila Yusuph amewapongeza wakulima na wajasiriamali walioenda kwenye maonyesho ya Nanenane jijini Mbeya kwa…
12 Agosti 2025, 11:58 mu
Wakulima watumieni vema maafisa kilimo
Ndugu Adili Mbilinyi akitoa neno kwa wakulima. Picha na Leah Kamala “Nitoe wito kwa wananchi watumieni vema maafisa kilimo” Na Leah Kamala Baadhi ya wakulima wa Kitongoji cha kasherami A, Kijiji cha muungano kata ya Ibindi halmashauri ya Nsimbo wamepatiwa…
6 Agosti 2025, 18:54 um
Mtamba aibuka kidedea kura za maoni CUF Mtwara Vijijini
Mh. Shamsia Mtamba ashinda kura za maoni CUF Mtwara Vijijini kwa kura 334 kati ya 374, akimuacha Abdull Mahupa nyuma kwa kura 39 Na Musa Mtepa Aliyekuwa Mbunge wa Jimbo la Mtwara Vijijini, Mh. Shamsia Azizi Mtamba, ameibuka mshindi katika…