Radio Tadio

Afya

18 November 2024, 14:56

Madiwani walia na migogoro ya wakulima na wafugaji Kasulu

Madiwani wametakiwa kuendelea kutoa elimu kwa jamii ili iweze kutambua mipaka ili kuwsaidia kupunguza migogoro ya ardhi katika ya wakulima na wafugaji. Na Emmanuel Kamangu Migogoro ya wafugaji na wakulima katika  wilaya ya uinza na wilaya ya kasulu yaongezeka ikichangiwa…

8 November 2024, 17:53

Hali ya upatikanaji wa maji vijijini ni asilimia 74 Kigoma

Mkuu wa Mkoa Kigoma, Thobias Andengenye ameutaka Wakala wa Maji Mijini na Vijijini (RUWASA) Mkoa Kigoma kuhakikisha upatikanaji wa vitendea kazi kwenye sekta ya maji unajibu mipango ya Rais Samia katika kusogeza huduma karibu na wananchi ya kumtua mama ndoo…

6 November 2024, 5:48 pm

Bilioni 440 kumtua mama ndoo kichwani Simiyu

“Uhai ni maji na wanasayansi wanasema robo tatu ya dunia na mwili wa binadamu ni maji kwa kulitambua hilo wananchi waipongeza serikali kwa miradi ya maji”. Na, Daniel Manyanga Wananchi mkoani Simiyu wanaopata maji kwa kusuasua kutokana na kukosa vyanzo …

5 November 2024, 15:34

Dkt. Chuachua ahimiza wakulima kulima zao la michikichi Kigoma

Manispaa ya Kigoma Ujiji Mkoani Kigoma imesema itaendelea kugawa miche ya michikichi kwa wakulima ili kuhakikisha inatekeleza agizo la Waziri Mkuu wa Tanzania Mh. Kassim Majaliwa la kila halmashauri kugawa miche kwa wakulima kama mkakati wa kukabiliana na uhaba wa…

4 November 2024, 12:54 pm

Fumanizi laua asiyetarajiwa kijiji cha Bugalama

Wivu wa mapenzi umeendelea kusababisha vifo kutokana na maamuzi ya baadhi ya watu kujichukulia sheria mkononi mkoani Geita. Na: Evance Mlyakado – Geita Kijana Faida Deusi anayekadiriwa kuwa na umri kati ya miaka 25-35 mkazi wa kijiji cha Bugalama kata…

24 October 2024, 09:06

Watendaji watakiwa kuwa wabunifu utoaji wa chakula shuleni

Serikali wilayani Buhigwe imesema inaendelea kuweka mikakati mbalimbali ya kukabiliana na tatizo la udumavu kwa watoto ikiwa ni pamoja na kusimamia suala la chakula shuleni ili wanafunzi waweze kupata chakula. Na Emmanuel Kamangu – Buhigwe Mwenyekiti wa kamati ya lishe…

17 October 2024, 11:25

Kanisa la anglikana laahidi kuunga mkono serikali utoaji huduma

Askofu kanisa la Anglikana dayosisi ya western Tanganyika mkoa wa kigoma amesema kanisa lipo tayari kushiriki na kuunga juhudi za Serikali katika kuboresha miundombinu ya maendeleo. Na Hagai Ruyagila- Kasulu Kanisa la Anglikana Dayosisi ya Western Tanganyika Mkoani Kigoma Limesema…

10 October 2024, 16:58

Migomba elfu 29 kusambazwa kwa wakulima Buhigwe

Shirika la Plantvillage limesema linatarajia kupanda miche ya migomba kwenye eneo la ekari 32 itakayokuwa inatumika kwa wakulima ili kupunguza migamba inashambuliwa na magonjwa. Na Michael Mpunije – Buhigwe Katika kukabiliana na ugonjwa wa Funga shada ya Migomba ambao umeshambulia…

4 October 2024, 17:21

Benki ya EXIM yaahidi kutoa huduma bora kwa wateja wake

Benki ya Exim tawi la Kigoma imesema itaendelea kuboresha na kutoa huduma bora kwa wateja wake huku ikiwataka wafanyabiashara na mashirika yaliyopo mkoani kigoma kujitokeza na kuomba mikopo inayotolewa na benki hiyo kwa lengo la kukuza biashara zao. Na Joha…

4 October 2024, 13:27

Wazazi watakiwa kuwezesha watoto kupata elimu bora

Serikali imewataka wazazi na walezi kuendelea kuwapeleka watoto wao shule ili kupata elimu itakayowasaidia kuweza kutimiza ndoto zao. Na Lucas Hoha – Kasulu DC Wazazi katika halmashauri ya Wilaya ya Kasulu Mkoani Kigoma wametakiwa kuwalea watoto wao katika maadili mema…