Radio Tadio

Ujenzi

27 November 2024, 12:25 pm

Zaidi ya wananchi 1,300,000 kupiga kura mkoani Geita

Leo Novemba 27, 2024 wananchi Tanzania bara wanashiriki katika uchaguzi wa serikali za mitaa kwaajili ya kuchagua viongozi wa mitaa, vitongoji na vijiji ambao watawaongoza kwa kipindi cha miaka mitano. Na: Ester Mabula – Geita Zaidi ya wananchi milioni 1…

1 October 2024, 07:30

Jiji la Mbeya la tangaza urejeo wa mikopo ya asilimia 10

Wafanya biashara wadogo maarufu kama Machinga wametakiwa kutumia fursa za mikopo ya halmashauri na ile ya kimachinga inayo tolewa na serikali.Wito huo umetolewa na Afisa Maendeleo Jiji la Mbeya Deus Mhoja katika mkutano na wamachinga kilichofanyika ukumbi wa shule ya…

26 January 2024, 10:01

Wananchi Kasulu wakerwa kuchangishwa 3,500 ujenzi wa daraja

Wananchi wa kata ya Nyansha wilaya ya Kasulu wameilalamikia serikali kwa kuwachangisha fedha kiasi cha shilingi 3,500 kila kaya ili kununua mawe ya kujengea daraja ikiwa huu ni mwaka wa tatu na hakuna kinachoendelea licha ya kila kaya kutoa kiasi…

26 January 2024, 01:53

Kyela: Isaki waoga noti za Babylon Mwakyambile

Wanachama wa chama cha Mapinduzi hapa wilayani kyela wametakiwa kuungana ili kukamirisha ujenzi wa jingo la ofisi za kata Isaki hapa wilayani Kyela ili kuondoa kadhia ya kuwafuata viongozi wa chama nyumbani kwao. Na James Mwakyembe Mdau maendeleo na mwanachama…

25 January 2024, 15:16

Bilioni 3 kujenga ofisi mpya za wilaya Kibondo

Halmashauri ya Wilaya ya Kibondo Mkoani Kigoma imeanza ujenzi wa ofisi mpya za halmashauri hiyo zitakazogharimu zaidi ya shilingi  bilioni 3 mpaka kukamilika kwake ikiwa ni mikakati ya serikali ya kuboresha mazingira ya kutolea huduma kwa wananchi. Na, James Jovin…

29 November 2023, 09:57

Serikali kutumia bilioni 40 kukarabati meli mbili ziwa Tanganyika

Serikali inatarajia kutumia jumla ya Shilingi Bilioni 40 kukarabati meli kongwe ya abiria na mizigo ya MV Liemba pamoja na meli ya mafuta ya MT Sangara yenye uwezo wa kubeba lita laki nne za mafuta ambayo  matengenezo yake  tayari yameanza. Akizungumza baada kutembelea na…

11 October 2023, 11:30

Waziri Pro. Mbarawa ashusha kibano kwa TRC

Katika kuhakikisha usafiri kwa kutumia treni unaimarika Waziri wa Uchukuzi Makame Mbarawa ameagiza watumishi wa Reli kufanya kazi kwa weledi na kujituma ili kuhaikisha wanatoa huduma bora. Na, Tryphone Odace Waziri wa  Ujenzi Pro. Makame Mbarawa ameonyesha kutoridhishwa utendaji wa…

5 October 2023, 2:01 pm

Wananchi Kasekese waishukuru serikali kwa kuwajengea shule mpya

Wananchi wa kijiji cha Magogo kata Kasekese wilaya ya Tanganyika mkoani  Katavi wameishukuru serikali kwa kuwajengea shule kijijini hapo. Na Gladness Richard – Tanganyika Wananchi wa kijiji cha Magogo kata Kasekese wilaya ya Tanganyika mkoani  hapa wameishukuru serikali kwa kuwajengea…