Uhuru
26 Agosti 2024, 15:32
Chunya yapiga hatua kimaendeleo
Chunya ni moja ya halmashauri inayounda mkoa wa Mbeya ambapo kwa sasa halmashauri hiyo imefunguka kiuchumi tofauti na miaka ya nyuma, kwasasa halmashauri hiyo inafikika kirahisi kutokana na uwepo wa barabara nzuri huku ikisifika katika uchimbaji wa madini pamoja na…
26 Agosti 2024, 15:03
Wananchi 42,000 kunufaika na mradi wa maji Itagano Mwansekwa
Kiongozi wa Mwenge amempongeza Ubora wa Mradi huo na kuwaomba Wananchi kutunza vyanzo vya Maji. Na Hobokela Lwinga Mwenge wa Uhuru 2024 kupitia kwa Kiongozi wake Ndg: Godfrey Mnzava na timu yake umeweka Jiwe la Msingi Mradi wa Maji Itagano-Mwansekwa…
26 Agosti 2024, 07:39
Kurasa za magazeti Agosti 26, 2024
22 Agosti 2024, 08:53
Kurasa za magazeti Agosti 22, 2024
21 Agosti 2024, 09:45
Kurasa za magazeti ya Tanzania leo Jumatano 21 Agosti 2024
20 Agosti 2024, 08:21
Kurasa za magazeti Jumanne Agosti 20, 2024
7 Agosti 2024, 19:10
Vijana na wanawake watakiwa kuigeukia fursa ya ufugaji na uvuvi
Nini kinachowakwamisha vijana kujikita katika Sekta ya Ufugaji? Na Fred Cheti.Vijana na Wanawake wametakiwa kuzigeukia fursa za Ufugaji na Uvuvi kupitia mitaji wanayopata badala ya Biashara pekee ili waweze kujikwamua kiuchumi wao na Taifa kwa ujumla. Hayo yameelezwa na Mkuu…
3 Agosti 2024, 06:24
Kurasa za magazeti Agosti 03, 2024
12 Juni 2024, 17:12
Walimu shule za msingi na Sekondari jiandaeni kustaafu
Watumishi wengi wamesahau kujiajiri kipindi wapo kazini hali inayosababisha wakati wanastaafu kupata changamoto katika eneo la kipato Na Sebastian Mnakaya Walimu wa shule za msingi na Sekondari katika halmashauri ya Msalala wilayani Kahama mkoani Shinyanga wametakiwa kujiandaa kustaafu kwa kujishughulisha…
5 Juni 2024, 17:07
Wawekezaji toeni fursa za ajira kwa vijana wazawa
wawekezaji endeleeni kuwapa kipaumbele wazawa wa maeneo husika kwa kuwapatia kazi ambazo wanaziweza kuzifanya ili nao wapate kipato kupitia uwekaziji huo. Na sebastian Mnakaya Mkuu wa Wilaya ya Kahama mkoani Shinyanga Mboni Mhita amewataka wawekezaji katika sekta ya madini kutoa…