
Radio Tadio
13 August 2023, 6:44 pm
Na Hafidh Ally Mfuko wa utamaduni na sanaa Tanzania unatarajia kutoa Mikopo Mipya zaidi ya shilingi Bilion 20 kwa Wasanii hapa nchini katika mwaka huu wa fedha 2023/2024. Hayo yamezungumzwa na Bi. Nyakaho Mturi Mahemba Afisa Mtendaji Mkuu wa mfuko…