Radio Tadio

Sanaa

23 Machi 2026, 18:48

Unazuiaje uharibifu wa mazingira unaoathiri vyanzo vya maji?

Na Mariam Kasawa. Kuzuia uharibifu wa mazingira na vyanzo vya maji kunahitaji ushirikiano wa jamii, serikali, na taasisi kupanda miti, kulinda misitu, na kudhibiti taka. Hatua muhimu ni pamoja na sheria kali za mazingira (Sura 191), kutoa elimu, na kusimamia mipango kabambe…

30 Januari 2026, 17:19

Waliovamia chanzo cha maji Mbuyuni watakiwa kuondoka

Zoezi la upandaji miti katika chanzo cha maji cha Mbuyuni ni sehemu ya mkakati wa pamoja kati ya serikali na DUWASA wa kulinda mazingira nakuhakikisha upatikanaji wa maji safi na salama kwa wakazi wa Wilaya ya Kongwa. Na Anwary Shaban.…

30 Oktoba 2023, 11:32

Wasanii watakiwa kutumia nyimbo kuelimisha jamii

Uimbaji ni moja ya sanaa pendwa ambapo wapo baadhi ya watu ambao wameweza kujiajiri kupitia sanaa hiyo pamoja na kutoa eleimu kwa jamii kukemea vitendo mbalimbali na kuburudisha. Na Thadei Tesha. Kufuatia kuhitimishwa kwa siku ya sanaa duniani wasanii wa…

28 Septemba 2023, 10:27

Kazi za sanaa zilivyomtoa kimaisha Allen

Kazi za sanaa zinapendwa zaidi na wageni kutoka mataifa mengine kuliko wazawa wa Tanzania, licha ya changamoto ya kutopata wageni wa mara kwa mara katika biashara yake Allen hakukata tamaa. Na Zubeda Handrish- Geita Kutana na Allen Furaha Mushi Mjasiriamali…

13 Agosti 2023, 18:44

Mfuko wa sanaa kuwanufaisha wasanii Iringa

Na Hafidh Ally Mfuko wa utamaduni na sanaa Tanzania unatarajia kutoa Mikopo Mipya zaidi ya shilingi Bilion 20 kwa Wasanii hapa nchini katika mwaka huu wa fedha 2023/2024. Hayo yamezungumzwa na Bi. Nyakaho Mturi Mahemba Afisa Mtendaji Mkuu wa mfuko…