Migogoro
11 Agosti 2022, 7:41 mu
Waziri Mabula Awaonya Viongozi Wa Vijiji Na Vitongoji Ambao Ndio Vinara Wa Kucho…
WAZIRI wa Wizara ya Ardhi, Nyumba na maendeleo ya makazi Angelina Mabula ametoa onyo kwa baadhi ya Viongozi wa ngazi za vijiji na vitongoji wanaokuwa chachu ya migogoro kwa kuuza ardhi zaidi ya mara moja ili kujinufaisha matumbo Yao Hali…
27 Januari 2022, 3:34 um
Ucheleweshaji wa miradi hurudisha nyuma matumaini ya wananchi
Na; Thadei Tesha. Imeelezwa kuwa miongoni mwa sababu zinazopelekea mwitikio wa wananchi kuchangia nguvu kazi katika miradi mbalimbali ya kimaendeleo kuwa mdogo ni pamoja na baadhi ya viongozi kusuasua kukamilisha miradi hiyo. Taswira ya habari imefanya mahojiano na baadhi ya…
29 Juni 2021, 12:56 um
Tanzania yazindua mpango wa Tatu wa maendeleo ya Taifa
Na;Yussuph Hans. Tanzania imezindua mpango wa tatu wa Maendeleo kwa Taifa wa miaka mitano 2021 – 2026. Mpango wa tatu wa maendeleo ya Taifa umegharimu Tsh Trilion 114.8, sekta binafsi ikichangia Tsh Trilion 40.6 huku sekta ya umma ikichangia Tsh…