Radio Tadio

Migogoro

14/10/2025, 12:36

Mvua zatatiza shughuli Idifu, wananchi waomba daraja

Hali hiyo imekuwa ikisababisha usumbufu mkubwa kwa wakulima na wafanyabiashara hasa msimu wa masika. Na Victor Chigwada. Wananchi wa vitongoji vya Mugu na Mjiha, vilivyopo Kata ya Idifu, Wilaya ya Chamwino, wameiomba serikali kujenga daraja katika eneo la Nyika, ambalo…

14/10/2025, 12:13

Changamoto ya maji Chanhumba karibu kutatuliwa

Hatua ya kufungwa kwa transifoma mpya katika kijiji cha Chanhumba italeta faraja kwa wananchi waliokuwa wakikabiliwa na upungufu wa maji. Na Victor Chigwada. Wananchi wa Kijiji cha Chanhumba, Kata ya Handali, Wilaya ya Chamwino, wameanza kupata matumaini juu ya utatuzi…

09/10/2025, 10:31

Kanda namba tatu yatoa elimu ya mapato Mbalawala

Picha ni baadhi wa wananchi wakiwa na mifugo yao katika Mnada wa Mbalawala. Picha na Lilian Leopold. Katika ziara hiyo, timu ya watumishi wa kanda ilishiriki katika shughuli za makusanyo ya ushuru wa mifugo, biashara ndogo ndogo, pamoja na utoaji…

02/10/2025, 15:42

Mikopo ya 10% yawakwamua vijana kiuchumi

Mikopo hiyo inawapa faida zaidi ikilinganishwa na mikopo mingine ya mtaani ambayo mara nyingi ina riba kubwa. Na VictorChigwada. Vijana wa Kata ya Msamalo, Wilaya ya Chamwino, wameipongeza serikali kwa kujali kundi la vijana, wanawake, na watu wenye ulemavu kwa…

01/10/2025, 12:04

Kukosekana kwa kiinua mgongo, mshahara kilio kwa wenyeviti

Wamesema hali hiyo imewavunja moyo kuendelea kutumikia wananchi bila malipo ya kifuta jasho.Wanaiomba serikali kuwatambua kama sehemu ya ngazi za uongozi na kuwapa posho za kila mwezi. Picha na Blogsport. Kilio hiki cha wenyeviti kukosa mishahara au kifuta jasho kimeendelea…

22/08/2025, 16:06

Vinara wa uwajibikaji wachaguliwa Inzomvu

Picha ni wakazi wa kijiji cha Inzomvu wilayani Mpwampwa wakiunga mkono uwepo wa vinara wa uwajibikaji. Picha na Seleman Kodima. Baadhi ya Vinara wa Uwajibikaji na usimamizi wa Rasilimali za umma kupitia Mradi wa Raia Makini waliochanguliwa na wananchi wameahidi…