Mazingira
17 December 2024, 18:25 pm
Msangamkuu Beach Festival kuzinduliwa rasmi 27 Disemba 2024 Mtwara
Na Musa Mtepa Tamasha la Msangamkuu Beach Festival, linalohamasisha utalii katika mkoa wa Mtwara na kusini kwa ujumla, linatarajiwa kuzinduliwa rasmi tarehe 27 Disemba 2024 katika fukwe za Msangamkuu. Tamasha hili litapambwa na burudani mbalimbali kutoka ndani na nje ya…
7 December 2024, 7:56 pm
Uhuru wa kujieleza na sheria za maudhui mtandaoni
watoa maudhui mtandaoni wanao wajibu wa kuhakikisha wanazingatia sheria za maudhui mtandaoni ili kuepuka habari au maudhui ya upotoshaji na udhalilishaji.
6 December 2024, 8:33 pm
Uhuru wa kujieleza na haki za wanawake
Changamoto za wanawake kutoaminiana na jamii kushindwa kumuamini mwanamke bado ni kikwazo kwa wanawake wengi kushindwa kupata nafasi ya kujieleza kikamilifu kwenye jamii Hayo yameelezwa na Rebecca Gibore katika kipindi cha radio mazingira fm kilichokuwa bna mada isemayo uhuru wa…
5 December 2024, 9:53 am
‘Hoja za wenye ulemavu zisikilizwe’
Katiba ya Tanzania imetoa uhuru wa watu kujieleza lakini changamoto kubwa kwa watu wenye ulemavu ni hoja zao na mawazo yao kutopewa nguvu katika jamii. Na Adelinus Banenwa Imeelezwa kuwa mapokeo hafifu ya hoja zinazotolewa na watu wenye ulemavu ni…
27 September 2024, 7:35 pm
Serikali yawaonya wananchi watakaovuruga uchaguzi
Wakati serikali ikiendelea na maandalizi ya uchaguzi wa serikli za mitaa, wananchi wilayani Babati mkoani Manyara wametakiwa kushiriki uchaguzi huo kwa amani na utulivu. Na Mzidalfa Zaid Wananchi wilayani Babati mkoani Manyara ambao wamekidhi vigezo vya kupiga kura wamehimizwa kujitokeza…
20 August 2024, 12:13 pm
Wakatazwa kujihusisha na kilevi wakati wa uandikishaji
Tume huru ya uchaguzi nchini inatarajia kuanza zoezi la uboreshaji daftari la kudumu la mpiga kura kwa mikoa ya Mwanza na Shinyanga tar21/08/2024 Na:Emmanuel Twimanye Maafisa uandikishaji wa uboreshaji wa Daftari la kudumu la wapiga kura katika Jimbo la Sengerema…
6 July 2024, 22:02
Watu wenye ulemavu Rungwe wapewa tabasamu na kanisa la Moravian
Si mara ya kwanza kwa Kanisa la Moravian Tanzania Jimbo la Kusini kugawa msaada wa viti mwendo kwa watu wenye ulemavu, ambapo tangu kuanza kwa mradi huu zaidi ya watu 50 wamenufaika na wengine wakiendelea kuibuliwa. Na mwandishi wetu Kanisa…
30 June 2024, 14:21 pm
Wadau waombwa kuwekeza sekta ya utalii Mtwara
Wizara inaunga mkono jitihada zinazofanywa na taasisi ya Trade Aid katika kutangaza,kutunza na kuhifadhi mji Mkongwe wa Mikindani ambao kwa mujibu kisheria mji huo umetangazwa kuwa mji wa hifadhi. Na Musa Mtepa Watanzania na wadau wa maendeleo wameombwa kuwekeza katika…
April 28, 2024, 5:58 pm
Msalala yapokea shilingi mil 500 tozo, miamala ya simu
Picha ya mkuu wa wilaya ya Kahama mhe.Mboni Mhita fedha zilizokuwa zinalalamikiwa na baadhi ya wananchi nchini za tozo na miamala leo zinatekeleza mradi miradi mbalimbali ya maendeleo Na Sebastian Mnakaya Serikali imeipatia halmashauri ya Msalala wilayani Kahama Mkoani Shinyanga…
2 February 2024, 4:12 pm
Taharuki mlipuko na maporomoko ya tope Chato
Siku chache baada ya kutokea kwa maporomoko makubwa ya tope mkoani Manyara hali hiyo imejitokeza Chato mkoani Geita japo siyo kwa ukubwa. Na Mrisho Shabani Wakazi wa kitongoji cha Iloganzara kijiji cha Songambele wilayani Chato Mkoani Geita wamekumbwa na taharuki…