Radio Tadio

Mazingira

31 Machi 2026, 10:56

Wakristo wamehimizwa kudumisha amani na upendo Kasulu

Amani na upendo huimarisha mshikamano wa kijamii na wat wanapoishi kwa kuheshimiana na kusaidiana, hujenga umoja unaowezesha jamii kuishi kwa utulivu bila migogoro. Na Hagai Ruyagila Wakristo Wilayani Kasulu Mkoani Kigoma wamehimizwa kuendelea kuishi maisha ya kudumisha amani, upendo na…

25 Machi 2026, 19:33

Moro yazindua ugawaji miche bora ya korosho

Lengo ni kuinua kipato cha wakulima kuchangia kukuza uchumi wa mkoa na taifa kwa ujumla. Na Katalina Liombechi Mkuu wa Mkoa wa Morogoro, Mheshimiwa Adam Malima, amezindua rasmi zoezi la ugawaji wa miche bora ya mikorosho kwa wakulima wa mkoa…

13 Machi 2026, 12:58

Waaswa kutenda mema kipindi cha kwaresma Kasulu

Mchungaji Bhikolimana Abrahamu Bhitona Katika msimu huu wa mfungo wa Kwaresma, Waumini wa Dini ya Kikristo wilayani Kasulu Mkoani Kigoma wameaswa kuendelea kutenda matendo mema ili kuenzi mateso na kifo cha Yesu Kristo pamoja na kuimarisha upendo na mshikamano katika…

24 Febuari 2026, 16:30

Wakristo watakiwa kusaidia wenye uhitaji Buhigwe

Kwaresma ni wakati wa kuonyesha imani kwa vitendo kwa kuwasaidia wenye uhitaji kupitia matendo ya huruma na upendo. Na Hagai Ruyagila Askofu wa Kanisa la Anglikana Dayosisi ya Western Tanganyika, Mhashamu Emmanuel Bwatta, amewataka waumini wa dini ya Kikristo mkoani…

3 Febuari 2026, 14:25

Wito watolewa kuchangia damu kwa wahitaji Kasulu

Wito umetolewa kwa wadau mbalimbali kuendelea kujitokeza kuchagngia damu ili kuweza kuokoa maisha ya wahitaji. Na Emmanuel Kamangu Jamii na taasisi mbali mbali za dini Wilayani Kasulu Mkoani Kigoma zimetakiwa kujenga utaratibu wa kujitolea kuchangia damu ili kusaidia hospital wilayani…

28 Januari 2026, 13:19

EAGT Kasulu kushirikiana na serikali kuelimisha jamii

Kanisa la EAGT Jimbo la Kasulu Mkoani Kigoma limesema litaendelea kushirikiana na Serikali ya Tanzania kwa kuiombea ili kuhakikisha taifa linaendelea kuwa na amani, utulivu na utekelezaji bora wa miradi na mipango ya maendeleo. Kauli hiyo imetolewa na Askofu wa…

1 Januari 2026, 14:19

Wakristo waaswa kumtegemea Mungu katika maisha yao Misenyi

Mchungaji Kiongozi wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) Usharika wa Kikukwe Dayosisi ya Kaskazini Magharibi Mchungaji Edward Mutashobya amesema kumtegemea mungu kunasaidia kuendelea kuwa maisha yaliyo mema. Na Hagai Ruyagila Waumini wa dini ya Kikristo Wilayani Misenyi mkoani…

29 Disemba 2025, 09:45

Jamii Kasulu yaaswa kutumia mitandao ya kijamii kwa njia chanya

Katika ulimwengu wa sasa, mitandao ya kijamii imekuwa sehemu muhimu ya maisha ya kila siku watu wengi hutumia mitandao kwa mawasiliano, kupata habari na kujiburudisha, hata hivyo, matumizi ya mitandao yanaweza kuwa na faida au hasara kulingana na namna inavyotumiwa.…