Radio Tadio

Maji

12 March 2025, 12:19 pm

Masunga, Daudi jela miaka 5 kwa wizi wa nguruwe wilayani Maswa

“Hatuwezi kuendelea kuona watu ambao wanapambana katika kujikwamua kiuchumi kwa kufanya shughuli mbalimbali wanarudishwa nyuma na watu ambao hawana nia njema ya kujenga uchumi wa mtu mmoja mmoja hadi Taifa kwa ujumla lazima tuwajibishane kwa kufuata sheria ili kukomesha tabia…

9 March 2025, 2:45 pm

Mbunge atoa kompyuta 5 Ihanamilo sekondari

Wadau mbalimbali wa elimu wameombwa kuendelea kujitokeza kusaidia sekta hiyo hususani katika masuala ya TEHAMA. Na Mrisho Shabani: Mbunge wa Jimbo la Geita mjini Costantine Kanyasu ametoa Kompyuta  zenye thamani ya zaidi ya milioni 10 katika shule ya sekondari Ihanamilo…

24 February 2025, 3:51 pm

TRA mkoa wa Simiyu yakusanya bilioni 14.2 kwa miezi sita

‘‘Hakuna mtu yeyote atakayetoka nje ya nchi kuja hapa nchini kwetu kutuambia namna bora ya kulifanya taifa letu liweze kusonga mbele katika kutekeleza miradi mbalimbali ya maendeleo ili kufikia malengo mama ya taifa kama sisi wenyewe hatutaweza kulipa kodi kwa…

February 24, 2025, 2:25 pm

Afariki kwa kupigwa shoti ya umeme akiiba nyaya

“Ulinzi wa miundombinu ya umeme ni jukumu letu sote, toeni taarifa kuhusu wanaohujumu. Pia wananchi epukeni kusogea kwenye Transfoma na njia za umeme kwani ni hatari. Ukiangalia hata hapa kwenye hii Transfoma kuna onyo kabisa kwamba ni HATARI”,amesema Mhandisi Tarimo.…

21 February 2025, 3:38 pm

Pangani tayari kumpokea Dkt. Samia

mama tunakukaribisha sana Pangani, lakini tunaomba utukamilishie barabara ya Tanga-Pangani -Saadan na Daraja la mto Pangani NA abdillahim Shukran Washuku Baadhi ya wakazi wa wilaya ya Pangani Mkoani Tanga wameelezea shauku yao kufuatia ziara ya Rais wa Tanzania Dokta Samia…

19 February 2025, 8:30 pm

Simiyu:Chatanda viongozi wanawake tendeni haki bila kujali vyama

“Uongozi siyo kupiga kelele ni kuleta mabadiliko chanya katika eneo lako la kiutawala kama kuna changamoto zozote zile kwa wananchi tuanataka utuambie umefanya nini kuzitatua hizo shida ili jamii iseme kweli hapa tunakiongozi na siyo msindikizaji viongozi”. Na, Daniel Manyanga …