Radio Tadio

Maendeleo

7 April 2023, 7:04 am

Wananchi Konamnyagala Wapongeza Jitihada za Kamati ya Shule

KATAVI Wananchi wa Kona ya Mnyagala Kijiji cha Ikaka kata ya Mnyagala Halmashauri ya Tanganyika mkoani katavi wamepongeza Jitihada za Kamati ya Shule katika usimamiaji wa upatikanaji wa Chakula shuleni hapo. Wakizungumza na kituo hiki wamesema kuwa wameitikia Wito wa…

6 April 2023, 10:53 am

Bilioni 1 kuweka Taa za Barabarani 180 Mafinga Mkoani Iringa

Mradi huo unagharamiwa kwa pamoja kati ya halmashauri ya mji huo na Wakala wa Nishati Vijijini (REA) watakaochangia Sh Milioni 500 kila mmoja. Na Frank Leonard KIASI cha Sh Bilioni moja kinatarajiwa kutumika kuweka taa 180 za barabarani zitakazotandazwa kwa…

31 March 2023, 4:09 pm

CCM yaagiza serikali kutekeleza miradi yote Wilayani Bahi

Hii inafuatia kuhakikisha ilani ya chama hicho inatekelezwa kikamilifu na kuwaletea maendeleo wananchi. Na Bernad Magawa. Kamati ya siasa ya Chama cha Mapinduzi CCM wilaya ya Bahi imeiagiza Serikali wilayani humo kuhakikisha miradi yote inayotekelezwa wilayani humo inaendana sawa na…

31 March 2023, 1:31 pm

Mikopo ya Asilimia 10 Yaendelea Kutolewa Nsimbo

NSIMBO Wanawake,vijana na watu wenye ulemavu kutoka katika halmashauli ya nsimbo mkoani Katavi wameendelea kunufaika na mikopo ya 10% ambayo inatolewa katika halmashauri hiyo. Akisoma taarifa ya utowaji wamikopo afisa maendeleo kutoka katika halmashauli ya nsimbo Lucy Kagine amesema kuwa…

29 March 2023, 7:55 pm

Deni la serikali lazidi kupaa lafikia Trilion 71.31

Deni la Serikali kufikia June 30,2022 lilikuwa Tsh. Trilioni 71.31 ikilinganishwa na Tsh. Trilioni 64.52 Na Mwandishi wetu Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali – CAG, Charles Kichere amesema hadi kufikia Juni 30, 2022 deni la Serikali lilikuwa…

29 March 2023, 8:16 am

Mwenyekiti Katumba Aomba Msaada Kukamilisha Ujenzi wa Darasa

NSIMBO Mwenyekiti wa kijiji cha Katumba Salumoni Jeremeiah Mayangu amewaomba wadau na serikali kuwasaidia kukamilisha Ujenzi wa Boma la darasa wa shule ya Msingi Katumba lililoanzwa kujengwa kwa nguvu za wananchi. Akizungumza hivi karibuni wakati wa kilele cha wiki ya…

22 March 2023, 9:22 am

CCM Iringa Yatekeleza miradi ya afya na kilimo

Miradi inayotekelezwa Mkoani Iringa na serikali ni pamoja na miradi ya afya na Kilimo. Na Adelphina Kutika Chama cha Mapinduzi (CCM) Mkoa Iringa kimeendelea kutekeleza miradi ya maendeleo nchini ikiwemo sekta ya afya na kilimo. Kwa mujibu wa  Mwenyekiti  wa…