Lishe
3 December 2022, 12:47 pm
Wananchi washauriwa kuunga mkono bishaa za wajasiliamali wa ndani
Wananchi kisiwani pemba wametakiwa kutumia bidhaa zinazozalishwa na wajasiriamali wanawake ili kuunga mkono juhudi za kujikwamua na umasikini. Akizungumza na mwandishi wa habari hizi Habiba Khamis Mohd mjasiriamali na muuzaji wa unga wa lishe wa Hopeca amesema imefika wakati sasa…
29 June 2022, 1:38 pm
Lishe duni yatajwa kuwa chanzo cha utapiamlo kwa watoto wa umri wa chini ya miez…
Na;Mindi Joseph. Ukosefu wa lishe bora kwa watoto wachanga chini ya miezi 6 umetajwa kuwa chanzo cha watoto kupata utapiamlo. Akizungumza na taswira ya habari Juma Swedi afisa lishe hospital ya Rufaa Mkoa wa Dodoma amesema ukuaji wa mtoto una…
9 June 2022, 3:32 pm
Serikali kufanya uwekezaji wa lishe kupambana na utapia mlo
Na;Mindi Joseph Chanzo. Serikali imeahidi kufanya Uwekezaji Kitaifa katika lishe nchini kama sehemu ya mapambano dhidi ya utapiamlo kuanzia ngazi ya Kaya hadi Taifa. Akizungumza Jijini Dodoma Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge na Uratibu) Mhe. George…
2 September 2021, 2:24 pm
Fedha za makato mbalimbali zatarajia kujenga madarasa zaidi ya 500 kwa shule za…
Chanzo: Dawati Rais wa Jamhuri yamuungano wa Tanzania Mh. Samia Suluhu Hassan amesema Serikali inatarajia kujenga madarasa zaidi ya 500 kwa shule za msingi na sekondari Nchi nzima kupitia makato katika tozo mbalimbali. Rais Samia ametoa kauli hiyo leo alipokuwa…