Radio Tadio

Kilimo

13 August 2023, 2:13 pm

Wakulima, wafugaji Kojani wanyoosheana vidole

Baada ya migogoro ya muda mrefu kati ya wakulima na wafugaji katika shehia ya Kojani bado suala hili limekuwa kizungumkuti kutokana na kukosekana kwa ufumbuzi wa tatizo hilo. Na Mwiaba Kombo Wakulima shehia ya Kojani Wilaya ndogo ya Kojani mkoa…

10 August 2023, 2:55 pm

Masheha watakiwa kuyatumia maonesho ya nanenane kujiongezea elimu

Amesema katika ziara yao hiyo watajifunza mbinu mbali mbali ambazo wakiitoa kwa wananchi wataweza kuisaidia kwa kiasi kikubwa wizara katika utoaji wa elimu ya kilimo na ufugaji. Na Khamis Said Waziri wa Kilimo, Umwagiliaji, Maliasili na Mifugo  Shamata Shaame Khamis amewataka masheha wa wilaya…

9 August 2023, 4:03 pm

Wakulima Maswa waaswa kutumia mbegu bora zilizofanyiwa utafiti

Wakulima Wilayani Maswa Mkoani Simiyu wahamasishwa kutumia mbegu bora zilizofanyiwa utafiti ili kuongeza uzalishaji kwenye sekta ya kilimo. Na,Alex Sayi. Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Maswa Mkoani Simiyu Maisha Mtipa amewaasa Wakulima Wilayani hapa kutumia mbegu zilizofanyiwa utafiti ili…

8 August 2023, 2:55 pm

Wakazi wa Mtube waeleza kunufaika na Bwawa

Nchi yetu imejaliwa kuwa na vyanzo vya maji vya aina mbalimbali ikiwemo Mito na Maziwa, licha ya kwamba Mkoa wa Dodoma unatajwa kuwa Kame lakini umejaaliwa kuwa na Mabwawa ambayo yanatumika katika Kilimo na Mwenye macho haambiwi Tazama. Na Mindi…

7 August 2023, 2:52 pm

Wakulima wapongeza mfumo wa M-KULIMA

M-Kulima ni mfumo unaolenga sekta ya kilimo na unatumika mahali popote kwa mkulima kupokea malipo yake kwa wakati na unarahisisha shughuli za Kilimo. Na Mindi Joseph. Wakulima wa zao la Zabibu Mkoani Dodoma wamepongeza uwepo wa mfumo wa M-kulima kwani…

7 August 2023, 10:25 am

SMZ yapandisha bei ya karafuu Zanzibar

Karafuu ni zao kuu la biashara Zanzibar na sasa bei ya zao hilo imeongezwa ili kukuza kipato cha wakulima visiwani humo. Na Idara ya Habari Maelezo Zanzibar Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar imepandisha bei ya karafuu kutoka shilingi 14,000 hadi…