
Kilimo

28 March 2025, 10:11 am
Maswa: Walioshindwa kurejesha mikopo kufikishwa mahakamani
“Hatuwezi kukaa kimya kwa wale ambao walichukua fedha za halmashauri na kwenda kujikwamua kiuchumi lakini linapokuja swala la kurejesha wanaingia mitini haiwezekani halmashauri ibane matumizi kwa ajili ya mikopo halafu watu wasirudishe ifike sehemu wajuwe hizi ni fedha za walipa…

27 March 2025, 9:58 pm
Wanawake Hanang’ wapata elimu ya uandaaji lishe
Baadhi ya wanawake wilayani Hanang mkoani Manyara wamefundishwa namna ya kuandaa lishe bora ili kudhibiti tatizo la udumavu kwa watoto. Na Mzidalfa Zaid Katika kuhakikisha watoto wanakuwa na lishe bora, jamii wilayani Hanang mkoani Manyara imeshauriwa kuhifadhi vyema mazao,kwa kuhakikisha…

27 March 2025, 10:42
Viongozi wa kata na mitaa wapata elimu ya maafa Kigoma
Ofisi ya Waziri Mkuu Sera, Bunge na Uratibu idara ya management ya maafa imetoa elimu kwa watendaji wa kata na mitaa katika Manispaa ya Kigoma Ujiji ya namna ya kupunguza madhara ya maafa kufuatia maafa ya mafuriko, magonjwa ya mlipuko…

26 March 2025, 7:47 pm
Sumu kuvu ilivyoathiri watoto Babati
Imeelezwa kuwa baadhi ya watoto wa kuanzia umri wa miezi 6- 24 wilayani Babati mkoani Manyara wameathiriwa na changamoto ya sumu kuvu kutokana na jamii kutokuwa na uelewa wa kuhifadhi mazao katika sehemu salama. Na Mzidalfa Zaid Kufuatia utafiti uliofanyika…

25 March 2025, 2:56 pm
Pemba waomba ligi ya mpira wa pete
Na Is-haka Mohamed Kutokuwepo kwa mashindano ya aina mbalimbali kunaelezwa kuhatarisha kutoweka kabisa kwa mpira wa pete (Netball) kisiwani Pemba. Hayo yameelezwa na baadhi ya wachezaji wa mpira huo katika timu ya Mchangamdogo Centre wakati walipotembelewa na timu ya waandishi…

25 March 2025, 13:01
Wanafunzi elimu ya watu wazima waomba kuboreshewa miundombinu
November 24 mwaka 2021 aliyekuwa waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Prof Joyce Ndalichako alitangaza kuruhusiwa kurejea shuleni kwa wanafunzi waliokatisha masomo kutokana na sababu mbalimbali ikiwemo ujauzito kurejea shuleni kwa mfumo rasmi baada ya kujifungua. Na Josephine Kiravu Wanafunzi…

19 March 2025, 4:55 pm
IPOSA yatajwa kuwakwamua vijana kiuchumi mkoani Simiyu
‘‘Aliyesema kuwa elimu ni ufunguo wa maisha ni kweli hakukosea ndiyo tunawatu wengi sana ambao hawakuweza kupata elimu ndani ya mfumo rasmi lakini haimaanishi kuwa watu hawa wasiweze kupata fursa ya elimu hata ya ufundi stadi ili kuondoa utegemezi kwenye…

18 March 2025, 14:34
NIT yatoa mafunzo ya usalama barabarani Kigoma
Chuo cha Taifa cha usafirishaji NIT chatoa elimu ya usalama barabarani kwa wananchi mkoani Kigoma Na Hagai Ruyagila Chuo Cha taifa cha usafirishaji NIT kupitia kituo chake cha kikanda cha umahiri katika usalama barabarani kimeandaa mafunzo ya usalama barabarani kwa…

17 March 2025, 15:27
Utekelezaji hafifu wa njia za kuimarisha usalama changamoto kwa wanafunzi shule…
Serikali yabaini Utekelezaji hafifu wa njia za kuimarisha usalama wa wanafunzi kuwa miongoni mwa changamoto zinazowakabili wanafunzi shuleni hasa wenye mahitaji maalumu Na Hagai Ruyagila Serikali ya Tanzania kupitia Wizara ya Elimu sayansi na Taknolojia kwa kushirikiana na Ofisi ya…

14 March 2025, 12:23
Halmashauri ya wilaya ya Kasulu kupokea vyandarua zaidi ya laki 3
Halmashauri ya wilaya ya Kasulu inatarajia kupokea vyandarua vyenye dawa bila malipo zaidi ya laki 3 kwa wananchi watakao jiandikisha Na Hagai Ruyagila Watendaji wa kata halmashauri ya wilaya ya Kasulu mkoani Kigoma wametakiwa kusimamia kampeni ya ugawaji wa vyandarua…