Radio Tadio

Habari za Jumla

23 April 2024, 17:20 pm

Vijiji 52 Mvomero kunufaika na mradi wa LTIP

lengo ni kuandaa jumla ya Mipango Shirikishi ya Matumizi ya Ardhi ya Vijiji 52 katika Wilaya ya Mvomero ambapo hadi kufikia sasa tayari mipango 48 imekwishaandaliwa Na Mwandishi Wetu Vijiji takribani 52 katika Wilaya ya Mvomero Mkoani Morogoro vitanufaika na…

23 April 2024, 4:08 pm

Wasichana 21,094 kupatiwa chanjo ya HPV Rungwe

Halmshauri ya wilaya ya Rungwe imekusudia kuwalinda watoto wa kike wenye umri wa kuanzia miaka 9-14 kwa kuwapatia chanjo ya kupambana na saratani ya mlango wa kizazi (HPV) Na Judith Mwakibibi Mkuu wa wilaya ya Rungwe Jaffar Haniu amewataka maafisa…

23 April 2024, 13:23

Dc kasulu awakalia kooni wahudumu wa afya

Wahudumu wa afya ngazi Wilayani kasulu wametakiwa kuzingatia maadili na taratibu za utoaji wa huduma bora kwa wananchi. Na Michael Mpunije – Kasulu Mkuu wa wilaya ya Kasulu kanali Isaac mwakisu amekemea lugha zisizo za staha zinazotolewa na baadhi ya…

23 April 2024, 13:19

FAO kuinusuru kigoma dhidi ya Magonjwa ya mlipuko

Serikali kwa kushirikiana na shirika la umoja wa mataifa la chakula na kilimo FAO, imeanza kuchukua hatua kukabilina na magonjwa ya mlipuko kwa mikoa inayopakana na nchi jirani, hasa magonjwa yatokanayo na wanyama, ili kulinda afya ya binadamu, mifugo na…

23 April 2024, 11:42

T.A.G Galilaya laadhimisha miaka 85 kwa kupanda miti

Utunzaji wa mazingira hautegemei mtu mmoja au kikundi fulani bali utunzaji wa mazingira unamtegemea kila mtu kutokana na kwamba kila kiumbe hai kinategemea mazingira safi na bora katika eneo alikopo, zipo athali mbali ambazo zinaweza kujitokeza katika uharibifu wa mazingira…