Habari za Jumla
24/02/2021, 04:45
Wawezeshaji TASAF wasisitizwa kutumia weledi uibuaji miradi
Timu ya wataalamu wa sekta mbalimbali halmashauri ya wilaya mtwara imeendelea na mafunzo ya siku sita yatakayowawezesha kusaidia uibuaji wa miradi ya kipindi cha ari kwa walengwa wa kaya maskini kupitia mradi wa TASAF kunusuru kaya maskini awamu ya tatu…
24/02/2021, 04:33
Waziri Silinde aridhishwa na ujenzi wa Bweni “Sabodo High School”
Naibu waziri OR-TAMISEMI anayeshughulikia elimu Mhe. David Silinde (Mb) ameipongeza timu ya menejimenti ya Halmashauri ya wilaya ya Mtwara kwa usimamizi thabiti wa ujenzi wa madarasa mawili na bweni katika Shule ya Sekondari Mustafa Sabodo ikiwa ni maboresho kuelekea kuanza…
23/02/2021, 15:11
Wafanyabiashara Gulio la Chilonwa walilia vyoo bora
Na, Selemani Kodima, Dodoma. Usemi wa Nyumba ni choo! ambao umekuwa ukitumika katika kampeni ya kitaifa ya kuhamasisha vyoo bora umekuwa tofauti katika gulio la Chilonwa Wilaya ya Chamwino Dodoma, ambapo wananchi wengi wa eneo hilo hawalipi uzito unaopaswa. Baadhi…
23/02/2021, 05:05
mechi ya hatua ya makundi Ligi ya Mabingwa Afrika baina ya CR Belouizdad ya Alge…
SHIRIKISHO la Soka Afrika limeridhia mechi ya hatua ya makundi Ligi ya Mabingwa Afrika baina ya CR Belouizdad ya Algeria ichezwe Uwanja wa Benjamin Mkapa Jijini Dar es Salaam Februari 28, mwaka huu.
23/02/2021, 04:55
Kufuatia maadhimisho ya siku ya kuanzishwa kwa skauti Duniani
Kufuatia maadhimisho ya siku ya kuanzishwa kwa skauti Duniani, Wazazi na walezi wilayani Liwale Mkoani Lindi wameombwa kuwahamasisha watoto wao kujiunga na Chama Cha skauti kwani itasaidia kwa watoto hao kuwa wazalendo, wakakamavu, wabunifu na wanaoweza kujitegemea pindi wanapokumbana na…
23/02/2021, 04:53
Chama cha ACT WAZALENDO kimemteua Dorothy Semu
Chama cha ACT WAZALENDO kimemteua Dorothy Semu ambae ni makamu mwenyekiti bara kuwa kaimu mwenyekiti wa chama hicho Taifa baada ya mwenyekiti wa chama hicho Maalim Seif kufariki Dunia Februari 17 mwaka huu. Dorothy atakaimu nafasi hiyo mpaka mwenyekiti mpya…
23/02/2021, 04:49
NAHODHA wa Al Ahly, Aiman Ashraf atowa angalizo
NAHODHA wa Al Ahly, Aiman Ashraf amesema kuwa wamekuja Dar kwa ajili ya kupata ushindi mbele ya wapinzani wao Simba.Kesho, Februari 23 Al Ahly itakaribishwa na Simba, saa 10:00 kucheza mchezo wa Ligi ya Mabingwa Afrika ikiwa ni hatua ya…
23/02/2021, 04:46
Mwamuzi Lucien Toudignon wa Benin Ashambuliwa na wachezaji
Mwamuzi Lucien Toudignon wa Benin jana akiwa amelazwa kwenye hospital nchini Burkina Faso baada ya kushambuliwa na wachezaji wa klabu ya Bouenguidi ya Gambia kwenye mchezo wa mkondo wa pili wa kufuzu makundi ya kombe la shirikisho barani Afrika (Caf…
22/02/2021, 12:50
Anayefahamu Tiba Asilia ya Magonjwa Upumuaji afike ofisi ya Mkuu wa Mkoa Mtwara.
Mkuu wa Mkoa wa Mtwara Gelasius Byakanwa ametoa wito kwa wananchi mkoani hapa kwa Anayefahamu tiba asilia ya magonjwa ya mfumo wa upumuaji, magonjwa ya pumu na magonjwa ya mfumo wa hewa na mwenye dawa asilia zenye kutibu magonjwa hayo,…
19/02/2021, 14:58
RALEIGH:Vijana tumieni mitandao kuhamasisha utunzaji wa mazingira
Na, Benard Filbert, Dodoma. Vijana wameshauriwa kutumia teknolojia ya uwepo wa mitandao ya kijamii katika kuhamasisha utunzaji wa mazingira ili kukabiliana na mabadiliko ya tabia nchi. Akizungumza na taswira ya habari afisa mazingira kutoka jumuiya ya vijana RALEIGH ambayo inajihusisha…