Radio Tadio

Habari za Jumla

18 January 2021, 11:43 am

Ajiua kwa wivu wa Mapenzi

Mtu mmoja aliejulikana kwa jina la Chikwisu mkazi wa Majengo Newala mjini amefariki dunia baada ya kujimwagia mafuta ya petrol mwilini na kujichoma huku kisa kikitajwa kuwa ni ugomvi wa kimapenzi na mke wake Awali akizungumza na Newala FM mtoto…

16 January 2021, 7:05 pm

Katika kutekeleza agizo la Waziri Mkuu Mh. Kassim Majaliwa kuwa ifikapo tarehe 15 Januari miradi ya ujenzi wa vyumba vya madarasa iwe imekamilika Mkuu Wa Wilaya ya Kilosa  Adam Mgoyi ametembelea miradi ya ujenzi wa vyumba vya madarasa katika shule…

14 January 2021, 2:31 pm

Takukuru yaokoa shilingi milioni 8.3 Kilosa.

Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa TAKUKURU Wilayani Kilosa Mkoani Morogoro imefanikiwa kuokoa fedha kiasi cha shilingi milioni 8,300,000 Kati ya milioni 212,503,559.29 ambazo chama cha Ushirika wa Akiba na mikopo cha Walimu Wilayani humo (Kilosa Teachers Saccos) kinadai…

14 January 2021, 2:55 am

Kilosa yajipanga kuto poteza vipindi darasani.

Wakati shule zikifunguliwa kwa ajili ya wanafunzi kuanza rasmi masomo yao Januari 11 mwaka huu mkoa wa Morogoro upande wa elimu sekondari umejipanga kuishi katika kauli mbiu ya hakuna kipindi kupotea lengo likiwa ni kuhakikisha wanafunzi wanafaulu katika kiwango kizuri kinachoridhisha. Hayo yamebainishwa…

13 January 2021, 9:02 am

Meya:Wekeni utaratibu kwa wajasiriamali kufanya shughuli zao

Dodoma. Halmashauri ya Jiji la Dodoma imemwagiza Meneja wa Kituo Kikuu cha Mabasi Dodoma, kuweka utaratibu mzuri kwa ajili ya wajasiriamali kufanya shughuli zao kituoni hapo.Agizo hilo limetolewa na Meya wa Jiji hilo, Profesa Davis Mwamfupe, alipotembelea kituo hicho kwa…

12 January 2021, 1:23 pm

Sita wapandishwa kizimbani kwa tuhuma za wizi

Na,Zakia Ndulute, Dodoma. Mahakama ya Hakimu Wilaya ya Dodoma imewapandisha kizimbani washtakiwa sita wakazi wa Dodoma kwa kosa la unyang’anyi wa kutumia silaha.Mahakama imemshikilia Mtuhumiwa PIUS JOSEPH YOHANA (20), ALOYCE ISSACK(18), LUCK PAULO(18), RAMADHANI MUSA(20), MUSTAPHA ABUU(20) pamoja na ONESMO…

12 January 2021, 12:46 pm

Mafuriko yakata mawasiliano Vijiji vya Mahama na Nzali

Na,Alfred Bulahya, Dodoma. Wananchi wa Vijijini vya Mahama na Nzali katika Kata ya Chilonwa Wilayani Chamwino Mkoani Dodoma, wametakiwa kuacha kutumia barabara inayopita katika mto Nyasungwi unaounganisha Vijiji hivyo ili kuepusha hatari ya kusombwa na maji yaliyojaa kutokana na mvua…