Radio Tadio

Habari za Jumla

8 May 2021, 06:47 am

DC Kyobya: tudumishe Amani

Na Karim Faida Mkuuu wa wilaya ya Mtwara Ndugu Dunstan Kyobya amewataka wananchi kuendelea kulinda amani ya Mtwara na kutoa taarifa kwa mamlaka pindi wanapoona kuna viashiria vya uvunjifu wa amani. Ndugu Kyobya amesema hayo jana Mei 7 2021 katika…

May 7, 2021, 1:50 pm

Wazee Wilayani Kahama watakiwa kujiwekea akiba ya pesa

Wazee wilayani Kahama mkoani Shinyanga wametakiwa kujiwekea akiba ya pesa ili bima inapoisha muda wake waweze kujilipia wao wenyewe pasipo kusubiri kila mwaka kulipiwa na wadau mbalimbali. Kauli hiyo imetolewa na Mustahiki Meya wa Manispaa ya Kahama, Yahaya Bundala na…

6 May 2021, 1:56 pm

Jamii imetakiwa kuwasaidia watu wenye mahitaji maalum.

Na; Benard Filbert. Jamii inaaswa kutoa msaada kwa watu wenye mahitaji maalumu ikiwepo watoto wanaoishi katika mazingira magumu hali itakayosaidia kukidhi mahitaji yao ya msingi. Wito huo umetolewa na mratibu wa shirika la Charity Vision Tanzania Mariam Mbijima mara baada…

5 May 2021, 20:49 pm

Matukio ya mauaji yanaichafua Mtwara

Na karim Faida Diwani wa kata ya Mkunwa halmashauri ya wilaya ya Mtwara mkoani Mtwara amesema katika kata yake imekuwa na Matukio ya uvunjifu wa amani ikiwa ni pamoja na mauaji ya watu watatu tofauti kwa matukio tofauti katika kipindi…

5 May 2021, 04:41 am

Mbae: Barabara ni changamoto

Na karim Faida Wananchi wa mtaa wa Mbae Chundi, Kata ya Ufukoni manispaa ya Mtwara Mikindani mkoani Mtwara wameiomba serikali kuwatengenezea barabara inayotoka Pacha ya Mbae hadi Mtaa wa Mbawala chini kwa kiwango cha changalawe. Wakiongea na Jamii fm radio…