Familia
16 Disemba 2025, 13:15
Kibondo, Uvinza zatolewa mashindano ya ujirani mwema Burundi
Mashindano ya ujirani mwema yaliyokuwa yanaendelea katika Wilaya ya Makamba Nchini Burundi Timu kutoka Mkoa wa Kigoma Tanzania zimetolewa kwa kipigo Na Mwandishi wetu Burungu, Burundi Timu za wachezaji mchanganyiko za wilaya za Kibondo na Uvinza za mkoani Kigoma nchini…
15 Disemba 2025, 12:21 um
DUWASA yawachukulia hatua za kisheria wateja 89 kwa Wizi wa Maji
Kwa sasa DUWASA inazalisha lita za maji Milioni 88 kwa siku, huku lengo ni kuzalisha lita za maji Milioni 121 kwa siku pindi miradi mikubwa ya maji ya Nzuguni Awamu ya Pili, Miji 28 Chamwino, Mji wa Serikali Mtumba, UDOM…
3 Disemba 2025, 3:51 um
Uhaba wa maji wachochea migogoro ya ndoa Manchali
Changamoto ya maji imekuwa ikiwaathiri zaidi wanawake kwani hulazimika kutembea umbali mrefu kufuata maji. Picha na Nukta Habari. Wanawake hao wameongeza kuwa wanaporudi nyumbani hukumbana na ugomvi pamoja na wivu kutoka kwa wenza wao. Na Victor Chigwada. Wakazi wa Manchali…
27 Novemba 2025, 4:31 um
TGNP yazinoa kamati za viongozi MTAKUWWA
Mtandao wa jinsia tanzania (TGNP) imetoa mafunzo kwa kamati za viongozi ngazi ya vijiji na kata Na Marino Kawishe Mtandao wa jinsia tanzania (TGNP) umeendesha mafunzo yakuwajengea uwezo viongozi warakibishi waliopo kwenye kamati za mpango wa taifa wakutokomeza ukatili dhidi…
26 Novemba 2025, 3:12 um
Wakazi wa Pandambili wakabiliwa na uhaba wa maji
Ikumbukwe kuwa Kupitia bajeti ya Wizara ya Maji kwa mwaka 2025/26, Serikali imepanga kuimarisha miradi ya maji vijijini, kujenga mabwawa mapya, na kuongeza uwezo wa miundombinu ya maji ili kukidhi ongezeko la watu na kupunguza adha ya kutembea umbali mrefu…
26 Novemba 2025, 1:44 um
Udogo wa Tenki wapelekea adha ya maji Mzula
Wameeleza kuwa tatizo hilo linawaathiri zaidi akina mama na kuhatarisha afya za jamii. Na Victor Chigwada.Maji ni uhai, lakini wakazi wa Kijiji cha Mzula, kata ya Muungano, Wilaya ya Chamwino, bado wanakabiliana na changamoto ya upatikanaji wa huduma hiyo muhimu…
24 Novemba 2025, 2:57 um
Serikali yatumia mkakati huu kuboresha huduma ya maji Dodoma
Wizara itatoa kipaumbele katika kuimarisha huduma kwa wateja ili kupunguza kero na malalamiko ya wananchi. Na Selemani KodimaSerikali kupitia Wizara ya Maji imeanza kutekeleza mkakati maalum wa kuboresha huduma ya maji katika Jiji la Dodoma kwa miradi ya muda mfupi…
13 Novemba 2025, 4:27 um
Wakazi wa kwa Mathias Dodoma wakabiliwa na ukosefu wa maji
Wananchi hao wameomba kuwekwa utaratibu wa uhakika wa upatikanaji wa maji ili kupunguza usumbufu wanaoupata. Na Farashuu Abdallah.Wakazi wa Mtaa wa Mathias, Kata ya Miyuji jijini Dodoma wameiomba serikali kutatua changamoto ya ukosefu wa maji ambayo imekuwa ikiwakabili kwa muda…
12 Novemba 2025, 1:53 um
Ukalanzila wakumbwa na ukosefu wa maji safi na salama
Aidha Wakazi wa Ukalanzila wameendelea kuomba msaada wa haraka ili kuondokana na changamoto hiyo, wakisisitiza kuwa upatikanaji wa maji safi ni msingi wa afya na maendeleo ya jamii. Na Victor Chigwada.Wakazi wa kitongoji cha Ukalanzila, kilichopo katika Kata ya Muungano,…
2 Oktoba 2025, 11:05 mu
Wakazi Mjelo waomba suluhisho la kisima cha maji
Hali hiyo inatokea zaidi ya miaka mitano tangu kuanzishwa kwa mradi mkubwa wa kisima cha maji, ambao ulitarajiwa kumaliza tatizo la uhaba wa maji safi na salama katika vijiji vya kata hiyo. Picha na RUWASA. Wameeleza kuwa hali hii imeendelea…