Boma Hai FM

HAI

22 April 2024, 2:00 pm

Prof. Mkenda aeleza maendeleo yaliyofanyika Rombo

Mbunge wa Rombo Profesa Adolf Mkenda afanya mkutano na wajumbe kutoka tarafa ya Mengwe,aeleza miradi kedekede ya maendeleo iliyofanyika na inayoendelea Rombo. Na Elizabeth Mafie Mbunge wa Rombo Profesa Adolf Mkenda ambae ndie waziri wa Elimu Sayansi na Teknolojia hapa…

5 March 2024, 1:33 pm

Wanawake Hai watakiwa kushiriki uchaguzi serikali za mitaa

Wanawake wilayani Hai wametakiwa kushiriki katika uchaguzi wa serikali za mitaa pamoja na kujitokeza kwa wingi katika maadhimisho ya siku ya wanawake duniani inayotarajiwa kuadhimishwa Machi 8 mwaka huu. Na Elizabeth Mafie Wanawake wilayani Hai mkoani Kilimanjaro wametakiwa kujitokeza kushiriki…

23 February 2024, 10:06 am

Waliochukua mikopo Hai watakiwa kurejesha

Vikundi vya vijana ,wanawake na watu wenye ulemavu wilayani Hai mkoani Kilimanjaro wametakiwa kurejesha mikopo waliyochukua katika halmashauri ya wilaya hiyo kama utaratibu unavyoelekeza. Na Janeth Joachim Wananchi wilayani Hai mkoani Kilimanjaro  wametakiwa kurejesha fedha za mikopo ya halmashauri zinazotolewa…

7 February 2024, 5:57 pm

Ulevi chanzo cha uhalifu Machame

Kutokana na baadhi ya wananchi kutumia vilevi mbalimbali wakati wa kazi imetajwa kuwa sababu ya vitendo vya uhalifu pamoja na ukatili. Na Janeth Joackimu Wananchi wa kijiji cha Nronga Kilichopo kata ya Machame Magharibi wametakiwa kuacha tabia ya unywaji wa…

20 November 2021, 9:08 am

Semina ya wajasiriamali

Madiwani wasaidieni wananchi kuzitambua fursa za kiuchumi: Diwani kata ya Bomang’ombe Na Salma Shaban HAI Diwani wa kata ya Bomang’ombe wilayani Hai mkoani Kilimanjaro Evod Njau amewaomba madiwani kote nchini kuwasaidia wananchi wakimemo wajasiriamali ikiwa ni pamoja na kutekeleza ahadi…