Baraka FM

Mafunzo

28 October 2025, 14:32

Wazazi watakiwa kuwapa fursa ya elimu watoto wenye ulemavu Kasulu

Serikali imewataka wazazi na walezi kuhakikisha wanawapa watoto wenye ulemavu nafasi ya kwenda shule ili wapate elimu kama watoto wengine Na Hagai Ruyagila Wazazi na walezi Wilayani Kasulu Mkoani Kigoma wametakiwa Kuwapatia fursa watoto wao wenye mahitaji maalumu kushiriki katika…

26 October 2025, 09:28 am

Hospitali ya kanda yaibua furaha Mtwara

Wananchi wa Mtwara wameishukuru Serikali ya awamu ya Sita kwa kujenga Hospitali ya Rufaa ya Kanda ya Kusini, hatua iliyowapunguzia gharama na safari za kwenda Dar es Salaam kutafuta huduma za kibingwa, huku wakiiomba serikali kuendelea kuboresha huduma hizo kwa…

24 October 2025, 15:32

Wenye ulemavu Kasulu kuchangamkia mikopo

Halmashauri ya mji Kasulu Mkoani Kigoma imewataka watu wenye ulemavu kujitokeza na kuchangamkia mikopo inayotolewa kwa makundi ya vijana, wanawake na watu wenye ulemavu. Na Hagai Ruyagila Watu wenye Ulemavu katika halmashauri ya Mji Kasulu Mkoani Kigoma wameshauriwa kutumia fursa…

23 October 2025, 15:30

Kandahari kuanzisha mfuko kusaidia wenye ulemavu Uvinza

Watu wenye ulemavu wameomba jamii kutoendelea kuwanyanyapaa badala yake wawaelekeze na kuwasaidia ili nao waweze kufanya shughuli za kuwaingizia kipato na kuchangia pato la familia na Taifa Na Mwandishi wetuMgombea ubunge Jimbo la Kigoma kusini Nuru Kashakali maarufu Kandahari ameahidi…

22 October 2025, 09:51

WCF yatoa viti mwendo kusaidia wenye mahitaji maalum Kasulu

Watu wenye mahitaji maalum hawana budi kushirikishwa kikamilifu katika shughuli za kijamii na kiuchumi ikiwa ni sehemu ya kujenga jamii jumuishi Na Hagai Ruyagila Mfuko wa Fidia kwa Wafanyakazi (WCF) umetoa msaada wa viti mwendo 11 vyenye thamani ya shilingi…

2 October 2025, 13:29 pm

TPA Mtwara yaongeza ufanisi wa usafirishaji wa mizigo

Bandari ya Mtwara imeongeza usafirishaji wa mizigo kwa asilimia 49 kati ya 2023/2024, ikihusisha korosho na makaa ya mawe, huku idadi ya makampuni ya meli ikiongezeka Na Gregory Milanzi Mtwara-September 29,2025 – Ukusanyaji na usafirishaji wa mizigo kupitia Bandari ya…

17 September 2025, 9:16 am

Wanachama 2,590 waandikishwa ICHF 2025 Kilosa

Kwa mujibu wa takwimu, katika mwaka wa fedha 2024/2025 wanachama 15,000 waliandikishwa kwenye mfuko wa bima ya afya ICHF wilayani Kilosa na tangu kuanza kwa mwaka wa fedha huu wa 2025, hadi sasa, wanachama 2,590 tayari wamejiunga na kupatiwa kadi…